danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 1,984
- 4,502
Nasimama na weweKwa mbaaalii naanza kuona na kuamini hii stori ya Oleg Gordievsky kuwekwa humu j.f . Imewauma baadhi ya watu Hadi huko Twitter . Kwani Kuna ubaya gani niliofanya ku share hii stori na waungwana humu ? . Hii ni user generated forum mtu anaandika na ku share anachoona kinafaa na Mimi nikaona ni vyema ku share lengo ni kuburidika na kuelimika kwa pamoja . Wengine wananiponda huko inbox kwamba ni najifanya mjuaji n.k. wengine wanasema kwamba ni acknowledge source sijui nimeitoa wapi hii story..nani kasema sita acknowledge sources au mlihisi nimejitungia hii stori..
By the way business as usual siwezi acha kuendelea . Labda nipigwe ban.