Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

There is no team called Stollenbosch in South Africa. But Stellenbosch fc. Let's start from there.
 
Stellenbosch umewajua juzi na ni Timu ya juzijuzi tu.Huo uhodari unaowapa ndiyo hasa unakuonesha ulivyo karunguyeye.
Hutaki utakandwa unataka utakandwa weqe ropoka ila kukandwa kupo palepale ya juzi sasa ya juzi ndio itakayokukanda
 
Hivi,umerudi kwenye kichwa cha uzi wako?Hutaki Simba wafunge Stellenbosch magoli matatu.Sasa unapendekeza wawafunge mangapi ili limoyo lako litakate we chura?
Mkandwe hata 7 zinawatosha
 
Unadhani kitendo cha Simba kuendelea kimataifa ni nani ameumia sana kati ya Al-Masry na utopolo?Waangalie machoni wanapochachamaza misuli ya shingo kubishia jambo kuhusu Simba ndiyo utajua ni sonona kiasi gani inawatesa.Waangalie tu.
 
Wewe kabla gemu haijaanza nakuona kabisa ushakandwa usifike uwanjani siku hio usije ukaanguka
 
Unadhani kitendo cha Simba kuendelea kimataifa ni nani ameumia sana kati ya Al-Masry na utopolo?Waangalie machoni wanapochachamaza misuli ya shingo kubishia jambo kuhusu Simba ndiyo utajua ni sonona kiasi gani inawatesa.Waangalie tu.
Wana hali mbaya mno. Sasa hivi ukikutana na shabiki wa Yanga usizungumzie mpira.
 
Mambo ya Kiswahili na Elimu zetu za Kimasikini.
Mtoto wa Masaki hawezi kuandika Pumba kama hizo.

Hizi ni zile Familia zetu za Kimasikini, Mawazo yetu ni Umasikini.
Tumezongwa na Wimbi zito la Umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…