Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Nimependa ulivyoandika!Huo ndio uamuzi pekee wa HEKIMA na BUSARA alionao sasa...
Nje ya hapo, anakwenda kudhalilika bila sababu za msingi....
Achilia mbali kushinda uchaguzi iwapo atagombea, lakini hata ikitokea amegombea na ajashinda, uongozi wake wakati huu utakuwa mgumu sana....
Na kwa maamuzi yake ya kuendelea, ata demoralize kundi kubwa la wana CHADEMA, wapenzi (nikiwemo mimi) na mashabiki wa chama hiki...
Kwa kifupi atabaki na watu haohao waliokuja kwake jana kumwaga sumu dhidi ya mpinzani wake Tundu Lissu...
Na afahamu tu, Tundu Lissu hawezi ku back down hii vita kirahisi. Watapambana hadi dakika ya mwisho na wasipokuwa makini watararuana na kuacha makovu makubwa chamani na kutibika kwake itachukua miaka kadhaa...
Freeman Mbowe aache kujisifu kupita kiasi hata kujiona yeye ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye. Dhana hii ni hatari sana...
Sijui itakuwaje huko mbeleni ila FAM atatangaza kugombea na atashinda. Labda Lissu atahamia ACT baada ya hapo.Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Hiii ndiyo busara, na pia kete ya ushindi kwa CDM..!Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Hii ni kawaida kabisa kunapotokea mabadiliko ya regime ktk taasisi au nchi yoyote, kuwa baadhi ya watu huwa ndio mwisho wao kwa kuwa aliyekuwa madarakani na kuwabeba, hayupo tena...?Yeriko na wenzake watakimbia.
Ndugu kumbe wewe hujamjua Tundu Lissu....Sijui itakuwaje huko mbeleni ila FAM atatangaza kugombea na atashinda. Labda Lissu atahamia ACT baada ya hapo.
Boniyai hata kukimbia hawezi na ule mwili wote, labda abebwe na Bajaji.Yeriko na wenzake watakimbia.
Uamuzi wa hekima na busara ungekua wa CCM kutangaza nafasi ya mwenyekiti kupigiwa kura badala ya kusimikwa kichifu.Huo ndio uamuzi pekee wa HEKIMA na BUSARA alionao sasa...
Nje ya hapo, anakwenda kudhalilika bila sababu za msingi....
Achilia mbali kushinda uchaguzi iwapo atagombea, lakini hata ikitokea amegombea na akashinda, uongozi wake awamu hii utakuwa mgumu sana....
Na kwa maamuzi yake ya kuendelea, ajue tu kuwa ata - demoralize kundi kubwa la wana CHADEMA, wapenzi (nikiwemo mimi) na mashabiki wa chama hiki...
Kwa kifupi atabaki na watu haohao waliokuja kwake jana kumwaga sumu dhidi ya mpinzani wake Tundu Lissu...
Miaka ya 2009, 2014 na 2019 tulimtetea kweli aendelee kuwa mwenyekiti kwa sababu hakukuwa na mtu sahihi wa kuvaa viatu vyake...
Mwaka huu 2024, mtu sahihi, makini na mwenye misimamo thabiti pengine kuliko yeye amepatikana na karibu dunia nzima inasema HUYU NDIYE MTU SAHIHI KUKALIA KITI HICHO...
Please, ndugu Freeman Mbowe pumzika kwa amani na kwa heshima zote huku ukiwa umekiacha chama kikiwa imara bila lawama tena mikononi mwa mtu sahihi kabisa Mh Tundu Lissu...
Na afahamu tu, Tundu Lissu hawezi ku back down hii vita kirahisi. Watapambana hadi dakika ya mwisho na wasipokuwa makini watararuana na kuacha makovu makubwa chamani na kutibika kwake itachukua miaka kadhaa...
Freeman Mbowe aache kujisifu kupita kiasi hata kujiona yeye ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye. Dhana hii ni hatari sana...
Wewe ni Lucia nkya? Mchepuko wa mwenyekiti?Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Ngoja tuone..
Haahaa nitaamini nikiona, wale machawa kina boni yai na yeriko itakuwaje?Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Kwahiyo Abdul atasemaje ?Wasalaam