Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

Wasalaam

Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.

Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.

Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.

Chama cha ukanda, ukabila, udini na utaifa katika ubora wake, ccm itaendelea kutawala japo ina madhaifu yake
 
Hii ndoto ya mchana ,anataka mbwai na iwe mbwai huyo na lipumba baba yao mmoja tusubiri
 
Wasalaam

Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.

Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.

Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Natamani iwe hivyo
 
Haahaa nitaamini nikiona, wale machawa kina boni yai na yeriko itakuwaje?
Unaweza kumtetea tajiri kwa kumtukana mshindani wake, tajiri akakushangaza siku ukiwakuta wako meza moja na uliyemtukana kwa niaba yake wanakula bia na kucheka😄
 
Approch ya Lissu kuutaka uwenyekiti ilikuwa na walakini - hajui kutumia uugwana, hana lugha ya ki diplomasia anapayuka sana.

Kwa hiyo awe tayari kujipima ubavu ya Jabari.
 
Wasalaam

Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.

Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.

Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Agombee kife
 
Atakuwa amefanya vyema sana
 
Ruzuku tamu sitegemei kuona Mbowe akiachia kiti na nikichanganya na maigizo ya jana ndio sina imani kama hilo jambo litatokea.
 
Huo ndio uamuzi pekee wa HEKIMA na BUSARA alionao sasa...

Nje ya hapo, anakwenda kudhalilika bila sababu za msingi....

Achilia mbali kushinda uchaguzi iwapo atagombea, lakini hata ikitokea amegombea na akashinda, uongozi wake awamu hii utakuwa mgumu sana....

Na kwa maamuzi yake ya kuendelea, ajue tu kuwa ata - demoralize kundi kubwa la wana CHADEMA, wapenzi (nikiwemo mimi) na mashabiki wa chama hiki...

Kwa kifupi atabaki na watu haohao waliokuja kwake jana kumwaga sumu dhidi ya mpinzani wake Tundu Lissu...

Miaka ya 2009, 2014 na 2019 tulimtetea kweli aendelee kuwa mwenyekiti kwa sababu hakukuwa na mtu sahihi wa kuvaa viatu vyake...

Mwaka huu 2024, mtu sahihi, makini na mwenye misimamo thabiti pengine kuliko yeye amepatikana na karibu dunia nzima inasema HUYU NDIYE MTU SAHIHI KUKALIA KITI HICHO...

Please, ndugu Freeman Mbowe pumzika kwa amani na kwa heshima zote huku ukiwa umekiacha chama kikiwa imara bila lawama tena mikononi mwa mtu sahihi kabisa Mh Tundu Lissu...

Na afahamu tu, Tundu Lissu hawezi ku back down hii vita kirahisi. Watapambana hadi dakika ya mwisho na wasipokuwa makini watararuana na kuacha makovu makubwa chamani na kutibika kwake itachukua miaka kadhaa...

Freeman Mbowe aache kujisifu kupita kiasi hata kujiona yeye ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye. Dhana hii ni hatari sana...

Nazikubali harakati za Lissu. Ila asipopunguza makali kidogo kuna uwezekano wa harakati zake kubackfire. Hiyo itapunguza sana umaarufu wa CHADEMA. Kama mass itasupport then Samia itabidi aback down na hiyo itakuwa a plus kwenye movement. Hiyo itafanikiwa tu kama ataachana na kutoambilika kwake. He is bit stubborn by character. Wasawahili wanasema, JASILI HAACHI ASILI.
 
Mandela anaheshimika mpaka leo na jina lake litaendelea kuwa reference katika kupigania haki, kujitoa kwaajili ya watu , siyo kwa sababu alikaa madarakani kwa muda mrefu, bali kwa sababu ya kuwaonesha njia wananchi wa Afrika Kusini.

Mbowe ataheshimika na kukumbukwa nyakati zote kama atachukua uamuzi huo kuliko kufanya vinginevyo.

Hajachelewa sana kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom