Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

Nimeshajitafakari sana na nimeona kwa maisha Bora ya watanzania wote na ustawi bora wa Taifa letu ni sahihi Leo kumchagua Tundu Antiphas Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Umeulizwa??? Unachuki Mbaya sana. Jitafakari
 
Heshima gani aliyoipa nchi??? Tanzania inayotolewa matamko na umoja wa mataifa na wadau wa maendeleo ambao wanatuona tumekuwa kisiwa cha unyanyasaji na mauaji???
Siku ukiwa na macho na masikio utajua, ninamuomba Mungu akufungulie milango ya fahamu uweze kuona heshima aliyoileta JPM!
 
Kwani yeye siyo mtanzania? Mimi pia ni Mtanzania lakini kura yangu siwezi kumpa Tundu. Tangia aanza kampeni hadi anafunga kampeni sikumsikia akisema atatufanyia nini watanzani. Sasa nimchague kwa lip?
Upate japo haki ya mawasiliano bila vikwazo..
Mitandao imezimwa tangu jana kwa TZ wote wkt wengine ni raia wapenda amani tu hatuna tatizo na mtu.,wala hatuna nia ya kuvunja amani yetu
 
Nimeshajitafakari sana na nimeona kwa maisha Bora ya watanzania wote na ustawi bora wa Taifa letu ni sahihi Leo kumchagua Tundu Antiphas Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Mambo? Pole kwa kupoteza uchaguzi, karibu tusaidiane kujenga Nchi!
 
Back
Top Bottom