Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

Viwanda gani ???? Hivi vya chereani 10?????

Kwa maendeleo ya kweli ya watanzania, uhuru wa kweli na haki kweli, lazima tumchague Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo kesho.
Mkoa wa Pwani tuna viwanda vingi tu vya Nondo, mabati, vigao, kuchakata vyakula nk, wewe endelea kuongerea vyerehani!
 
Natanguliza pole kwako kwa kuwa umechagua fungu la kukkosa! Tano tena kwa JPM, CCM Oyeee, shangila ushindi unakuja!
Labda nikupe Polee wewe maana huyo Magu wako hata akilazimisha kushinda jiandae tu kumsindikiza ICC maana hachomoi sasaivi!
 
Viwanda gani ???? Hivi vya chereani 10?????

Kwa maendeleo ya kweli ya watanzania, uhuru wa kweli na haki kweli, lazima tumchague Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo kesho.
maendeleo ya kweli ndio yapi hayo yasiyokuwa na ufafanuzi? ni mpumbav tu ndio anaweza kuamini kuwa ujenzi na ufufuaji wa usafiri wa reli,ujenzi wa barabara,madaraja,bwawa la umeme,maji,hospitali,zahanati, n.k ni maendeleo ya vitu hivyo watz hawahitaji.
watanzania wanahitaji uhuru wa kweli ambao ni kuboresha yao kupitia kodi walipazo,hizo nyingine ni ngojera zisizo na uhalisia wowote.
Chagua JPM kazi iendelee.
 
Mawakala wa Mabeberu ni kina nani??? Embu fafanua??
wacha kujitia upofu ewe kijana wa kitanzania,ndio kusema hujui kuwa ukoloni mambo leo upo na unafanyakazi vizuri tu kwenye mataifa mengi ya Africa na kuharibu siasa na ustawi wa maendeleo ya waafrica?
siasa hizi tulizoea kuziona kwenye mataifa ya wenzetu lkn sasa zimeisha ingia na hapa kwetu,
na uchaguzi wa kesho unaenda kuwaumbua vibaya.
 
Ni vizuri ujibu swali langu! Ni wakala wa mabeberu kivipi??
wacha kujitia upofu ewe kijana wa kitanzania,ndio kusema hujui kuwa ukoloni mambo leo upo na unafanyakazi vizuri tu kwenye mataifa mengi ya Africa na kuharibu siasa na ustawi wa maendeleo ya waafrica?
siasa hizi tulizoea kuziona kwenye mataifa ya wenzetu lkn sasa zimeisha ingia na hapa kwetu,
na uchaguzi wa kesho unaenda kuwaumbua vibaya.
 
Sina uchungu nae, nasimamia haki! Siwezi kuwa sawa na mtu muuaji, mtekaji, na anaebambikia watu makesi

Siwezi pia kum support mtu aliyeharibu uchumi wa nchi na kutengeneza nchi ya wachuuzi badala ya walipa kodi

Denning vipi, mbona unauchungu sana na JPM , ni janga lili lilikupitia, cheti feki, ufisadi, kutumbuliwa, kuhodhi ardhi?! Pole.
 
Kura za mapema znz hio rundo la kura ndani ya bahasha
 
Attachments

  • Screenshot_20201027_215304.jpg
    Screenshot_20201027_215304.jpg
    51.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom