Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #221
Amina kwa Jina la YesuMwenyezi MUNGU asikilize maombi yetu tukamchague Rais wetu Tundu lisuView attachment 1573693View attachment 1573694View attachment 1573695View attachment 1573697View attachment 1573698
Umeulizwa??? Unachuki Mbaya sana. Jitafakari
Hakikaaa..Ni siku ya kuchagua shida huzuni au furaha kicheko.
Siku ukiwa na macho na masikio utajua, ninamuomba Mungu akufungulie milango ya fahamu uweze kuona heshima aliyoileta JPM!Heshima gani aliyoipa nchi??? Tanzania inayotolewa matamko na umoja wa mataifa na wadau wa maendeleo ambao wanatuona tumekuwa kisiwa cha unyanyasaji na mauaji???
Upate japo haki ya mawasiliano bila vikwazo..Kwani yeye siyo mtanzania? Mimi pia ni Mtanzania lakini kura yangu siwezi kumpa Tundu. Tangia aanza kampeni hadi anafunga kampeni sikumsikia akisema atatufanyia nini watanzani. Sasa nimchague kwa lip?
Niambie ni heshima gani???Siku ukiwa na macho na masikio utajua, ninamuomba mungu akufungulie milango ya fahamu uweze kuona heshima aliyoileta JPM!
π’π’π’ Nafikiria MITANO TENA halafu vile namna vyuma vitatunyonga tu
Nani akuibie, huwezi hata kumlipa wakala ,ruzuku yote mnagawana wenye SACCOS!Tumeshapiga kura! Ole wao waibe kura sasa
View attachment 1614579
Hongera kwa kuchagua fungu la kushindwa, sisi tumechagua maendeleo wewe endelea na maneno, ndiyo demokrasia!
Aliambiwa mwisho wa kelele Oktoba, yeye katoka kabla!Lodi deningi choka mbaya.. Kautelekeza uziππ..
Mambo? Pole kwa kupoteza uchaguzi, karibu tusaidiane kujenga Nchi!Nimeshajitafakari sana na nimeona kwa maisha Bora ya watanzania wote na ustawi bora wa Taifa letu ni sahihi Leo kumchagua Tundu Antiphas Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.