cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ni furaha sana kwangu. Mimi nikiongea na wananchi, wanapotoa machozi, wakisema kwa furaha. Nanukuu machache:
"Nimefurahia sana nchi kuwa ilivyo na yenye hadhi" "Nilikuwa mvivu, ila sentensi ya asiye fanya kazi asile...,kwa kweli sasa biashara yangu inashamiri sana" "Niliishi kwa kutegemea pesa za ziada kazini, hata kutunga uongo. Kwa kweli sasa ninajua nini maana ya kubajeti na nina furaha sana bila kuishi kama mwizi" "Nilikuwa sibajali mke na watoto, kwa kweli michepuko ingeniua, pesa bamekula sioni faida. Sasa hivi mimi na mke tupo vizuri, nimekoma" "Kwa kweliii wajukuu zangu, Magufuli ametuweka vizuri walimu; tuna uhuru wa kufanya biashara zetu wenyewe nje ya kufundisha na maisha yapo bora. Huwezi ishi tegemea kikapu kimoja"
Ni mengi sana, nitaendelea
Shukurani sana
Rais jembe, imeweka historia nyingiiiii. Pigeni vigelegele wanawake.. wanaume pigeni miluzi..
HERI YA SIKUKUU YA KUZALIWA RAIS WETU JPM
Magufuli oyeeeeeeeee
Nalia kwa furaha.. tano tena.. kaa chini ndugu.. kaweke tiki kwa tanoooo tenaaaaaa
JPM 2020 💯
Inaendelea posti #21.. oyeeeee
UPDATE..... AM 29 OCTOBER 2020: Mwaliko
wangu kwenu wote wananchi wenzangu..
kwanza HASWAAA WAPINZANI WA HUMU JF
napenda uwafikie kwanza.. wenzangu wa humu
wa bluu na nyekundu.. KARIBUNI SANAA
.ili tusherekeee tusaze.. JPM 2020 💛 💚 💛 💚 💛
yaani mkumbuke pia maendeleo hayana Chama...