Uchaguzi 2020 Tarehe 29 ni Kijani na Njano, kushoto, kulia, juu na chini

Uchaguzi 2020 Tarehe 29 ni Kijani na Njano, kushoto, kulia, juu na chini

[emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304]
 
Unatia huruma, sasa ndio umeandika nini, kumbe hata kiswahili fasaha hujui, by the way, siitegemei ccm au siasa ya TZ kuishi, i have better life with or without politics, nakupa pole wewe unaetegemea buku saba za lumumba, halafu unaonekana hata shule hukwenda na kama ulienda basi ulipata zero

Ha ha haaaaaaaa
Umejiandika wewe hapo juu.. maneno yako yamejaa uongo.. nakucheka sababu ulipo ni wewe unapokea hayo.. mgeni hujui Cocochanel.. eeeh ningekuwa Lumumba kiwango changu lazima kingekuwa kuanzia figa saba kwa kila ujumbe..

😅😅😅😅 Coco the Coco... pokea zaidi..💉💉💉 lugha eti ndo umeponda.. lia tu siasa imekujaaa.. mnapigwa baoz wavivu nyie.. wadokoaji.. namba mutasoma tena 2020- mbeleni..💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
ongeeni mmalize , watanzania wanajua la kufanya oktoba 28 View attachment 1612991

Huyo akimuacha nchini wa pili yake.. naye atapewa pesa na mabeberu? Wamemaliza utalii.. wakalale tu.. fomu zenyewe mnatunga hata hamujui zimekaaje.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳💚💛💚💛💚💛💛💚
 
[emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304][emoji1304]

Leo umeibukia wapi!!!! Kudokoa hakuna tena.. mujiongeze no dezo yoyote duniani.. shule mumefunga au uliwacha kazi?

Uliona kideo cha Mwalimu muuza mishikaki.. alivyo anatajirika jioni baada ya kufundisha.. alianza alipomusikia Rais Jembe.. akisema watu wasitegemee chanzo kimoja... eeeeeh

💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
Huwa nasahau wale wandangs... eeeeh nao banaumia.. muchape kazi... awamu hii tamu ukiwa suo muvivu kama wengi nyie.. musisahau kujisalia pia

💚💛💚💛💚💛💚
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule msaliti wa Nchi ameishakata tikiti ya kurudi kwao ubeligiji

Kwa spana za TAL kwa hakika hata mzee baba akipita anajua moyoni hapendwi na kwahiyo awe mpole aheshimu wezake
 
Watanzania tunampenda Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania
mpole,
mfariji,
Mzalendo,
Mchapakazi
Mvumilivu
Mnyenyekevu,
mpenda haki
Nk
Kwa spana za TAL kwa hakika hata mzee baba akipita anajua moyoni hapendwi na kwahiyo awe mpole aheshimu wezake
 
Hatuchagui mabeberu na vibaraka wake sisi. Tumeamua Magufuli5 tena[emoji172][emoji172]
IMG-20201026-WA0002.jpg
 
Huwa nasahau wale wandangs... eeeeh nao banaumia.. muchape kazi... awamu hii tamu ukiwa suo muvivu kama wengi nyie.. musisahau kujisalia pia

[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
pole sana kibaraka
familia yako ufukara umewajaa but still mtaendelea kuwapigia kura ambao kwanza hawatashinda, pili wataendelea kuwaletea umasikini, nakupa pole wewe uliyejitoa ufahamu na kuridhika na umasikini ulionao, kwa malipo ya elfu saba je familia yako elfu saba inatosha kumaliza umasikini na shida mlizonazo ?
 
Kesho ni kumekuchaaaaaaa... 💚💛💚💛💚💛
 
pole sana kibaraka
familia yako ufukara umewajaa but still mtaendelea kuwapigia kura ambao kwanza hawatashinda, pili wataendelea kuwaletea umasikini, nakupa pole wewe uliyejitoa ufahamu na kuridhika na umasikini ulionao, kwa malipo ya elfu saba je familia yako elfu saba inatosha kumaliza umasikini na shida mlizonazo ?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama utanataka hiyo pesa nenda Lumumba kawaombe.. waambie unajua wanagawa.. hayanihusu!!!
Mimi munanijua kabisa..

Magufuli oyeeeee 💯💯💯

BTW
Utakuwa wewe na familia yako.. mumejaa ufukara na uvivu.. mumekuwa vidokozi sana.. nenda kachukue kitambulisho cha mjasiliamali.. elfu 20 tu.. upate kutoka ufukara.. na bado mitano tena mutaisoma namba 💚💛💚💛💚💛💚
 
Ni furaha sana kwangu. Mimi nikiongea na wananchi, wanapotoa machozi, wakisema kwa furaha. Nanukuu machache:

"Nimefurahia sana nchi kuwa ilivyo na yenye hadhi" "Nilikuwa mvivu, ila sentensi ya asiye fanya kazi asile...,kwa kweli sasa biashara yangu inashamiri sana" "Niliishi kwa kutegemea pesa za ziada kazini, hata kutunga uongo. Kwa kweli sasa ninajua nini maana ya kubajeti na nina furaha sana bila kuishi kama mwizi" "Nilikuwa sibajali mke na watoto, kwa kweli michepuko ingeniua, pesa bamekula sioni faida. Sasa hivi mimi na mke tupo vizuri, nimekoma" "Kwa kweliii wajukuu zangu, Magufuli ametuweka vizuri walimu; tuna uhuru wa kufanya biashara zetu wenyewe nje ya kufundisha na maisha yapo bora. Huwezi ishi tegemea kikapu kimoja"

Ni mengi sana, nitaendelea

Shukurani sana

Rais jembe, imeweka historia nyingiiiii. Pigeni vigelegele wanawake.. wanaume pigeni miluzi..

Magufuli oyeeeeeeeee

Nalia kwa furaha.. tano tena.. kaa chini ndugu.. kaweke tiki kwa tanoooo tenaaaaaa

JPM 2020 [emoji817]

View attachment 1610080

Inaendelea posti #21.. oyeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app

Umefikia kiwango cha kuwa low hivi!!!.. kiasi hiki.. mbona mnaandika yenu.. inakuuma nini sasa na yangu!!!!

Kweli siasa imekuingia.. mtu mie kiongozi wenu aliyetumwa na RA.. jina nimelisahau
 
Umefikia kiwango cha kuwa low hivi!!!.. kiasi hiki.. mbona mnaandika yenu.. inakuuma nini sasa na yangu!!!!
Kweli siasa imekuingia.. mtu mie kiongozi wenu aliyetumwa na RA.. jina nimelisahau
Kwani umeelewa nini hapo? A wasted manii!?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom