barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hali ni mbaya sana ufipa, hawa waliopiga kura ndio watanzania walio field sio mitandaoni. Kuna aibu kubwa sana kwa upinzani inakuja. Ni kìpigo cha paka shume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipigo haswaaaaaaaHali ni mbaya sana ufipa, hawa waliopiga kura ndio watanzania walio field sio mitandaoni. Kuna aibu kubwa sana kwa upinzani inakuja. Ni kìpigo cha paka shume.
Mungu hadhiakiwi, yuko wapi sasa?kipigo haswaaaaaaa
wanasaga menooooooo kama bado wanayo... na waliowachezesha games pia huko kwingine.. eeeh
[emoji172] [emoji169] [emoji172] [emoji169] [emoji172]
Kwani kijani na njano.. siku hizwi zimebadilika au!!!?Mungu hadhiakiwi, yuko wapi sasa?