Uchaguzi 2020 Tarehe 29 ni Kijani na Njano, kushoto, kulia, juu na chini

Muendelezo....

Bila wasi wasi mitano tena

Magufuli 5 tena 1st πŸ’―

Hapa kijijini napoishi.. tumekuweka mahema.. ng'ombe na mbuzi wakuchinja.. vinywaji vinafika leo.. yaani tunajipa furaha Jumatano.. hakuna kulima.. na usafiri wa luxury mabasi.. upendo kijijini hapa... tutakula pati haswa, furaha sana.. chinja tule nyama.. MITANO TENA sisi tulimsikia Magufuli akisema....... na asile.. kijijini kama town moja kule nje ya downtauni kubwa.
Umeme wa REA na maji bombani muda wote.. eeeh

Karibuni mjumuike nasi.. πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
Magufuli oyeeeeeeee
 
Dunia inamtamani sana Magufuli. Watanzania tumebarikiwa
Screenshot_20200929-140107.jpg
 
Thread nzima imejaa wapumbavu kasoro mimi...
tapatalk_1581514865332.jpg
 
Nikushangae wewe mama D. Ungekua upo duniani ungejua dunia inasemaje kuhusu magu fool, the whole world is against that thing
Magufuli amewatetemesha hadi wameamua wamtumie vibaraka wao kumvuruga kwa kuvuruga amani yetu kwa maslahi yao ila watashindwa

Walishatu target muda sana ila timing mbovuuuuuu

NI MAGUFULI AGAIST THE WORLD 😁😁😁😁 WAKAJIPANGE KWINGINE HAKI
Screenshot_20200929-140107.jpg
 
Nikushangae wewe mama D. Ungekua upo duniani ungejua dunia inasemaje kuhusu magu fool, the whole world is against that thing

Acha uvivu.. mulizoea vya dezo na kudokoa.. na bado tano tena.. mtaisoma namba zaidi.. kama hamutafuti mulo wenyewe.. "asiye fanya kazi na asileeeree"

Anza kulia πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’―
 
Magufuli amewatetemesha hadi wameamua wamtumie vibaraka wao kumvuruga kwa kuvuruga amani yetu kwa maslahi yao ila watashindwa

Walishatu target muda sana ila timing mbovuuuuuu

NI MAGUFULI AGAIST THE WORLD 😁😁😁😁 WAKAJIPANGE KWINGINE HAKIView attachment 1612571

Ameweka historia nchini na bado... watasaga meno πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
Kwa kweli kibaraka.. tayari na tiketi kashakatiwa kukimbia nchi..

Wataisoma namba haswaaa.. tano tena Magufuli oyeeeeeeeeeee
 
Acha uvivu.. mulizoea vya dezo na kudokoa.. na bado tano tena.. mtaisoma namba zaidi.. kama hamutafuti mulo wenyewe.. "asiye fanya kazi na asileeeree"

Anza kulia [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji817]
Unatia huruma, sasa ndio umeandika nini, kumbe hata kiswahili fasaha hujui, by the way, siitegemei ccm au siasa ya TZ kuishi, i have better life with or without politics, nakupa pole wewe unaetegemea buku saba za lumumba, halafu unaonekana hata shule hukwenda na kama ulienda basi ulipata zero
 
Ameweka historia nchini na bado... watasaga meno [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Kwa kweli kibaraka.. tayari na tiketi kashakatiwa kukimbia nchi..

Wataisoma namba haswaaa.. tano tena Magufuli oyeeeeeeeeeee
Dah vibaraka mnatia huruma
 
Jumatano tunaenda kumchagua Magufuli kwa upendo mkubwa sanaaa.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Unatia huruma, sasa ndio umeandika nini, kumbe hata kiswahili fasaha hujui, by the way, siitegemei ccm au siasa ya TZ kuishi, i have better life with or without politics, nakupa pole wewe unaetegemea buku saba za lumumba, halafu unaonekana hata shule hukwenda na kama ulienda basi ulipata zero

Huduma muhimu na amani pia zimedumishwa na CCM
 
Back
Top Bottom