cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
- Thread starter
-
- #21
Dunia inamtamani sana Magufuli. Watanzania tumebarikiwaMuendelezo....
Bila wasi wasi mitano tena
Magufuli 5 tena 1st π―
Hapa kijijini napoishi.. tumekuweka mahema.. ng'ombe na mbuzi wakuchinja.. vinywaji vinafika leo.. yaani tunajipa furaha Jumatano.. hakuna kulima.. na usafiri wa luxury mabasi.. upendo kijijini hapa... tutakula pati haswa, furaha sana.. chinja tule nyama.. MITANO TENA sisi tulimsikia Magufuli akisema....... na asile.. kijijini kama town moja kule nje ya downtauni kubwa.
Umeme wa REA na maji bombani muda wote.. eeeh
Karibuni mjumuike nasi.. πππππ
Magufuli oyeeeeeeee
Dunia inamtamani sana Magufuli. Watanzania tumebarikiwaView attachment 1612467
Basi wewe haupo duniani.Labda kuzimu ndio inamtamani
Nikushangae wewe mama D. Ungekua upo duniani ungejua dunia inasemaje kuhusu magu fool, the whole world is against that thingBasi wewe haupo duniani.
Magufuli amewatetemesha hadi wameamua wamtumie vibaraka wao kumvuruga kwa kuvuruga amani yetu kwa maslahi yao ila watashindwaNikushangae wewe mama D. Ungekua upo duniani ungejua dunia inasemaje kuhusu magu fool, the whole world is against that thing
Mkuu kumbe upo? Ulipotea Sana.
Anyway 28.. ni Magufuli day.
Nikushangae wewe mama D. Ungekua upo duniani ungejua dunia inasemaje kuhusu magu fool, the whole world is against that thing
Magufuli amewatetemesha hadi wameamua wamtumie vibaraka wao kumvuruga kwa kuvuruga amani yetu kwa maslahi yao ila watashindwa
Walishatu target muda sana ila timing mbovuuuuuu
NI MAGUFULI AGAIST THE WORLD ππππ WAKAJIPANGE KWINGINE HAKIView attachment 1612571
Unatia huruma, sasa ndio umeandika nini, kumbe hata kiswahili fasaha hujui, by the way, siitegemei ccm au siasa ya TZ kuishi, i have better life with or without politics, nakupa pole wewe unaetegemea buku saba za lumumba, halafu unaonekana hata shule hukwenda na kama ulienda basi ulipata zeroAcha uvivu.. mulizoea vya dezo na kudokoa.. na bado tano tena.. mtaisoma namba zaidi.. kama hamutafuti mulo wenyewe.. "asiye fanya kazi na asileeeree"
Anza kulia [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji817]
Dah vibaraka mnatia hurumaAmeweka historia nchini na bado... watasaga meno [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Kwa kweli kibaraka.. tayari na tiketi kashakatiwa kukimbia nchi..
Wataisoma namba haswaaa.. tano tena Magufuli oyeeeeeeeeeee
Unatia huruma, sasa ndio umeandika nini, kumbe hata kiswahili fasaha hujui, by the way, siitegemei ccm au siasa ya TZ kuishi, i have better life with or without politics, nakupa pole wewe unaetegemea buku saba za lumumba, halafu unaonekana hata shule hukwenda na kama ulienda basi ulipata zero
Yesu Wa Lugola!!Duuh uzi hauendi kabisa. Watag Buku 7 FC wenzako
Mfagiaji Wa Nyumba Za Malaika.Huduma muhimu na amani pia zimedumishwa na CCM
AbeeeMfagiaji Wa Nyumba Za Malaika