Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Msimamo ni huuWatanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga.
Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani.
Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba.
Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo ni maandamano. Hawawaelwi watanzania, si watu wa kutekwa na matukio yasiyo na tija.
Vile vile si vyema vyombo vya dola kutoa vitisho vya aina yoyote siku hiyo, watu wana amani na wasisitize kutakuwa shwari tu.
Kama mwananchi, timiza haki yako kwa kupiga kura na kwenda nyumbani
Hajakosa kazi, hii ndio kazi yake kashaingiza buku7 hapoUmekoswa kazi? Kwani Kuna Haja Ya Kuhamasisha Mtu Kwenda Kupiga Kura
KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE
Anaejua umuhimu wa kupga kura ataenda asiyejua umuhimu mwache kwanini utumie nguvu nyingi kiasi hiki kwa kitu kinachoeleweka
exaloth
JF-GEITA
Anapima sumu kwa kulambaUsitupangie cha kufanya hiyo siku. Katimize haki yako ya kikatiba katulie kwako mengine tuachie wenyewe
Anapulizwa huyu, tena atuache kabisa kila mtu afanye lake hiyo siku. Hatutaki kushauriwa waendelee kuungwa mkono ndio kitu wanaona sifa.Anapima sumu kwa kulamba
Buku 7 zinandanganya bwege huyo..!!Anapulizwa huyu, tena atuache kabisa kila mtu afanye lake hiyo siku. Hatutaki kushauriwa waendelee kuungwa mkono ndio kitu wanaona sifa.
Hopeless!! This is really crap.Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga.
Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani.
Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba.
Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo ni maandamano. Hawawaelwi watanzania, si watu wa kutekwa na matukio yasiyo na tija.
Vile vile si vyema vyombo vya dola kutoa vitisho vya aina yoyote siku hiyo, watu wana amani na wasisitize kutakuwa shwari tu.
Kama mwananchi, timiza haki yako kwa kupiga kura na kwenda nyumbani
Kwa akili yako wewe , unafikir tarehe 29 Oktoba utafanya nini cha tofauti.Anapulizwa huyu, tena atuache kabisa kila mtu afanye lake hiyo siku. Hatutaki kushauriwa waendelee kuungwa mkono ndio kitu wanaona sifa.
Mkuu uakuwa emotional na kutotumia akili ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu.Hopeless!! This is really crap.
Ni lazima uwe mjinga usiyejimudu kabisa, ndiyo utaamini kuwa kuna uchaguzi mwaka huu.
Hakuna mtu mwenye akili timamu kabisa, mwenye mapenzi mema na Taifa lake, ambaye anaweza kupoteza muda wake kwenda kubariki huo uchafu wa mwaka huu.
Hiyo event ya 29Oct ni maalum kwaajili ya wasiojitambua, na wanafiki wachumia tumbo, wenye roho ya shetani. Lakini wenye mapenzi mema kwa Taifa lao na watanzania wenzao, wanajua kuwa tupo kwenye nyakati ngumu sana sana ambazo binadamu wanatekwa na kuuawa na mashetani, watanzania wanadhulumiwa haki za kuwachagua viongozi wanaowataka, ambao bila shaka wanatambua thamani ya uhai wa binadamu wenzao.
Hakuna binadamu mwema atakayeenda kubariki utekaji na mauaji.
Nahis hata kujiandikisha hujajiandikisha, wee kaa nyumbani tu.Kiukweli kwa sasa mmetufikisha mlipokuwa mnataka tumejaa sumu hakuna ndezi tena , ngoja kwanza tuwanyooshe hiyo siku ,Kura sipigi naenda kuandamana nilishaaga