Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Shikamoo bro mkubwa?
 
Kuna mtu aliwahi kusema...wajinga nao huzeeka
 
Hata ningekuwa nakufahamu kwa jina halisi siwezi kukuchukia. Ila ulimbukeni na uongo uache


Have a fabulous weekend!!
Hamna shida mkuu
I never lie in my words
Ila shikilia hapo hapo huenda ipo siku tutaongea kwa heshima zaidi
Thanks for that
Umenishambulia bila kosa lolote na bado unaniita muongo sasa huo ukweli uanike hapa
Hata kama nipo huko ningesema tu niko mahali flani maana hakuna anaenitafuta
Be happy
 
Hakukua na smartphone, intaneti, computer , magari mazuri, miundombinu mizuri. Huo utamu uliletwa na nini au unaongea according to you.
 
Miaka 60 za uhuru ila bado tuko vile vile kila kitu loh Nyerere kauua hi nchi.
Nyerere kaondoka madarakani mwaka 85, aliongiza nchi kwa kutegemea kilimo, mifugo na viwanda. Hakuchimba madini ukiondoa Alma's na Tanzanite, Wala hakuchimba gesi pamoja na kwamba akijua uwepo wake. Aliuaje uchumi wa Tanzania, uchawa wenu ndio umeua nchi.
 

Mimi nimemaliza Mkuu.
 
Nilikuwa sijazaliwa Ila Kuna kipindi mvua ilinyesha Bibi yangu akaniambia mvua Kama hii ilinyesha wakati wa Uhuru.
 
Kipindi hicho nilikua kama sekretarieti wa anga za juu huko nakumbuka nimekaa zangu ofisini nikaitwa nipeleke barua adress ya baba wa taifa

Nikaona hii barua mbona huyu mu white man kanipa kwa masikitiko makubwa hivi njiani nikapaki mandolin nikachungulia

Kumbe ilikua mikeka ya betpawa minne
Mmoja wa moja kwa moja mwingine wa double chance sijui kwanini alinipa kwa huzuni vile inawezekana ilichanika hakucash aut😂😂😂
 
Tarehe hiyo baba yangu alikuwa bize na mishemishe za elimu ili aje kuchomoza maishani.

Mie nilikuwa bado mbinguni
 
Unapayuka tu nikikwambia uniambie mode of function ya hicho kifaa unajua au unabwabwaja?..au ndo akili yako ilipoishia?

Bila shaka lugha hujui ulipata D au F.

Maarifa madogo!!
Nimekuuliza jambo dogo kijana unaanza matusi.Ndiyo kwenye familia yenu mnavyotukana namna hiyo.Una A+ ya weledi wa matukano.
 
Hakukua na smartphone, intaneti, computer , magari mazuri, miundombinu mizuri. Huo utamu uliletwa na nini au unaongea according to you.
Mkuu kweli barua ilikuwa ukiandika na kupeleka posta itachukua hata mwezi kumfikia uliemuandikia ila Habari za vifo tulikuwa tunapata haraka sana kwa njia ya simu ya upepo telegraphy ambapo anakuja postman na kuwataarifu msiba
Kulikuwa na magari mkuu ila kwa wakati huo yalikuwa yanatamba na kukufikisha unapotaka pia kulikuwa na reli pia
Yalikuwa mazuri kwa wakati huo maana hata population ilikuwa ndogo
 
Nimekuuliza jambo dogo kijana unaanza matusi.Ndiyo kwenye familia yenu mnavyotukana namna hiyo.Una A+ ya weledi wa matukano.

Wala sijakutusi, ila ni wewe kujipa umaamuma kwa jambo ambalo ni obvious sasa hapo carbon 14 dating inakuja vipi kwamba wewe ulishindwa kuelewa kile ambacho namaanisha ?

Ile ni lugha tu kama kiswahili kilikupiga chenga hasa isimu ya lugha basi sina msaada kwa kweli.
 
Walichinja kuku home nikaenda kucheza narudi nakutana na mguu wa kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…