Northpole
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 590
- 853
Unaonekana kupanic kwa vitu vidogo sana jambo linalodhihirisha wewe huna umri huo.kujisifia vitu na oppotunities ni tabia za vijana.Hii ndio sababu kubwa ya wengi kuamini kila kitu ni uongo
Kwa sababu asilimia kubwa ya waswahili ni waongo, waizi, na wala rushwa kwa hiyo kama wewe umo unaona wote ni waongo tu
Mimi nafaidika na nini kwa kudanganya umri? Kuna tuzo humu wanatoa au utanipa msaada wowote
Najua mtandao huu tu ndio unaingia ila huijui mitandao mingine duniani
Hebu jipngeze download Tapatalk kuna hobbies nyingi sana huko
Ila kwa wewe ukiona wapenzi wa small aircraft wanavyoongelea ndege zao ungejiona masikini wa kutupwa
Au wenye magari ungelia kwa wivu
Hiyo miaka ya 80 kwa taarifa yako nilikuwa middle East tena nina kazi yangu na maisha mazuri tu
Ukiwa masikini kila kitu utaongea kwa wivu pole sana
Tembea dogo mimi namaliza mda nakuja kustaafu
Don't judge me ok