Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Hii ndio sababu kubwa ya wengi kuamini kila kitu ni uongo
Kwa sababu asilimia kubwa ya waswahili ni waongo, waizi, na wala rushwa kwa hiyo kama wewe umo unaona wote ni waongo tu

Mimi nafaidika na nini kwa kudanganya umri? Kuna tuzo humu wanatoa au utanipa msaada wowote
Najua mtandao huu tu ndio unaingia ila huijui mitandao mingine duniani

Hebu jipngeze download Tapatalk kuna hobbies nyingi sana huko
Ila kwa wewe ukiona wapenzi wa small aircraft wanavyoongelea ndege zao ungejiona masikini wa kutupwa
Au wenye magari ungelia kwa wivu

Hiyo miaka ya 80 kwa taarifa yako nilikuwa middle East tena nina kazi yangu na maisha mazuri tu
Ukiwa masikini kila kitu utaongea kwa wivu pole sana

Tembea dogo mimi namaliza mda nakuja kustaafu
Don't judge me ok
Unaonekana kupanic kwa vitu vidogo sana jambo linalodhihirisha wewe huna umri huo.kujisifia vitu na oppotunities ni tabia za vijana.
 
Wala sijakutusi, ila ni wewe kujipa umaamuma kwa jambo ambalo ni obvious sasa hapo carbon 14 dating inakuja vipi kwamba wewe ulishindwa kuelewa kile ambacho namaanisha ?

Ile ni lugha tu kama kiswahili kilikupiga chenga hasa isimu ya lugha basi sina msaada kwa kweli.
JF imeweka chaguo sahihi la kuitana "wakuu au mkuu" kwa sababu hatujuani jinsi zetu wala umri.Sasa ukijitwalia mamlaka ya kumbishia mtu mwaka wake wa Kuzaliwa ni kosa.Humfahamu.Nimekuuliza umetumia "carbon 14" kama namna ya kukutahadharisha kuvuka michoro.Badala ya kutafakari ulichoandikiwa unaandika "mahovyohovyo" in return! Ndiyo nini?
 
Nyerere kaondoka madarakani mwaka 85, aliongiza nchi kwa kutegemea kilimo, mifugo na viwanda. Hakuchimba madini ukiondoa Alma's na Tanzanite, Wala hakuchimba gesi pamoja na kwamba akijua uwepo wake. Aliuaje uchumi wa Tanzania, uchawa wenu ndio umeua nchi.
Alicha msingi wa wasiasa mbovu, ndo maana mpaka leo chama chake ndo kinacho tawala.
 
Mkuu kweli barua ilikuwa ukiandika na kupeleka posta itachukua hata mwezi kumfikia uliemuandikia ila Habari za vifo tulikuwa tunapata haraka sana kwa njia ya simu ya upepo telegraphy ambapo anakuja postman na kuwataarifu msiba
Kulikuwa na magari mkuu ila kwa wakati huo yalikuwa yanatamba na kukufikisha unapotaka pia kulikuwa na reli pia
Yalikuwa mazuri kwa wakati huo maana hata population ilikuwa ndogo
Nikifikiria naona hayo yalikua maisha ya watanzania wachache sana ilihali majority waliishi vijijini.
 
Unaonekana kupanic kwa vitu vidogo sana jambo linalodhihirisha wewe huna umri huo.kujisifia vitu na oppotunities ni tabia za vijana.
Hapana mkuu wala sija panic na humu wapo wanaofurahisha watu na mimi sio mmoja wao kwani sijaona kutoa sifa yoyote hapo bali nimejadili kwa ukweli
Mkuu kuna mitandao mingi duniani na watu wanajiachia na kuandika ukweli na maisha yao ila hawaitani waongo ila humu ni kawaida sana kumuita mtu usiemjua muongo sababu ni simple sana exposure ya mtu
Mimi siwezi kumuita mtu muongo kwa sababu siwajui humu na wengine wanaishi double life sio kazi yangu kuchunguza au kumbeza mtu
Naona na wewe umeangukia kwenye mtego ule ule wa kusema huyu atakuwa dogo tu ila kiuhalisia sio
Amini unaloamini ila siwezi kujisifia uongo kwani sipati cheti humu
Kungekuwa na Jf club labda tungekutana siku moja 😄
 
Nikifikiria naona hayo yalikua maisha ya watanzania wachache sana ilihali majority waliishi vijijini.
Hakika mkuu ila hata mimi nilizaliwa Mkoani na mahitaji mengi ya kila siku yalikuwepo na wafanyakazi walikuwa na nidhamu sana kwa mfano rushwa ilikuwa mwiko kabisa
Ni kweli wengi walikuwa vijijini lakini waliishi tu na afya njema
 
JF imeweka chaguo sahihi la kuitana "wakuu au mkuu" kwa sababu hatujuani jinsi zetu wala umri.Sasa ukijitwalia mamlaka ya kumbishia mtu mwaka wake wa Kuzaliwa ni kosa.Humfahamu.Nimekuuliza umetumia "carbon 14" kama namna ya kukutahadharisha kuvuka michoro.Badala ya kutafakari ulichoandikiwa unaandika "mahovyohovyo" in return! Ndiyo nini?

Wewe huna akili timamu. Umeandika maneno mengi hakuna lenye mantiki hata moja.

Wewe unasema nimembishia kuhusu huo umri wake wewe una birth certificate yake?

Hivi huko shuleni mnaenda kusomea ujinga au nini? Makadirio haujasoma? Lugha hujasoma?
Usiwe mjinga kiasi hicho.

Rudi darasani kasome tanzu za lugha napata wasiwasi kama kauli yangu umeshindwa kuelewa na kubabaika je kauli tatanishi unaweza kuzing’amua kweli?

Hopeless.
 
Alicha msingi wa wasiasa mbovu, ndo maana mpaka leo chama chake ndo kinacho tawala.
Nyerere ni kumsingizia kuficha kushindwa kwetu. Hata kama alitengeneza misingi mibovu , sisi tuliopo tumefanya nini kuirekebisha hiyo misingi au kujenga mipya? Sisi wote tuliopo na waliopita baada yake tumechangia kusababisha hali iliyopo na si mtu mmoja au kundi la watu.
 
Hakika mkuu ila hata mimi nilizaliwa Mkoani na mahitaji mengi ya kila siku yalikuwepo na wafanyakazi walikuwa na nidhamu sana kwa mfano rushwa ilikuwa mwiko kabisa
Ni kweli wengi walikuwa vijijini lakini waliishi tu na afya njema
Kwenye rushwa nakubaliana nawewe wengi walikua waoga lakini kwa upande wa pili kulikua na magonjwa kama maleria yalikosa control, mahitaji ya msingi kama sabuni, sukari ,n. k watu waliyapata kwa foleni tena wakati mwingine walikosa. Huko vijijini watu walilala na mifugo nyumba moja tena chini kwenye ngozi. Huo uzuri na afya njema vililetwa na nini?
 
Ni kweli mkuu bora umeliona hilo kuwa tulipanga foleni kwa sabuni na kulazimishwa kununua na wembe wa Nacet
Kuhusu magonjwa mpaka leo tumeshindwa kuyafuta na kutokomeza ila zamani kulikuwa madimbwi na uchafu sio kama sasa kwani usafi ulikuwa ni lazima kwa kila mmoja
Na majanga ya maradhi kweli ila mengi walijitibu kwa miti shamba
Nakumbuka kuna mti mmoja ulikuwa na mbegu nyeusi na ukizivunja ndani zina Unga mweupe kama zikikauka na hiyo tulitumia kuweka kwenye majeraha na tuliita MB
Tatizo kubwa lilikuwa ni uzazi kama mjamzito akipata complications za uzazi na yuko sehemu ambazo huduma hakuna hapo vifo ni lazima

Ila mengi tunayaona leo baada ya miaka zaidi ya 60 kwa uzembe na wizi sio kuwa hakuna hduma hizo bali zinapigwa

Leo watu wanaiba Transfoma na kwenda kuuza chuma chakavu mkuu ni haki kweli
 
Ni kweli mkuu bora umeliona hilo kuwa tulipanga foleni kwa sabuni na kulazimishwa kununua na wembe wa Nacet
Kuhusu magonjwa mpaka leo tumeshindwa kuyafuta na kutokomeza ila zamani kulikuwa madimbwi na uchafu sio kama sasa kwani usafi ulikuwa ni lazima kwa kila mmoja
Na majanga ya maradhi kweli ila mengi walijitibu kwa miti shamba
Nakumbuka kuna mti mmoja ulikuwa na mbegu nyeusi na ukizivunja ndani zina Unga mweupe kama zikikauka na hiyo tulitumia kuweka kwenye majeraha na tuliita MB
Tatizo kubwa lilikuwa ni uzazi kama mjamzito akipata compilation za uzazi na yuko sehemu ambazo huduma hakuna hapo vifo ni lazima

Ila mengi tunayaona leo baada ya miaka zaidi ya 60 kwa uzembe na wizi sio kuwa hakuna hduma hizo bali zinapigwa

Leo watu wanaiba Transfoma na kwenda kuuza chuma chakavu mkuu ni haki kweli
Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom