Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mm nlikuwa natoka kuchunga ng'ombe nakuta watu wanafurahia kulikuwa na shangwe na nderemo🤣najua mtabisha sana ila mm ndo nishasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niediti ni siku nyingi sanaa mjukuuHamkumalizia "uhuru Ni kazi"?
Kwakweli 😃Kama kuna uzi ambao utajaa uongo, basi ni huu.
Sawa kabisa.Ulitusimulia hivyohivyo.Ngoja niediti ni siku nyingi sanaa mjukuu
Uhuru ni kazi😃😃😃.
.Miaka 27 mkuu
Hivi ulichukua?Maana mwaka uleeee na wewe uliandamana kudai chenuNilikua nafuatialia mafao yangu kwenye serikali ya mkoloni
Atakuwa anaandika huku anatetemeka kwa kiu ya ugoro.Kweli we msaga sumu aiseh!na umeisaga sana aiseh!!
Nimesahau!shikamoo mkuu!hongera Kwa kutunza afya Hadi leo vidole vyako vina type!!
.
Kumbe ninyi ndiyo mlikuwa mnaiba matunda (zambarau na embe)kwa mzee Boga na kuogelea Kandiloni kule mitaa ya Ng'ambo?Nilikua middle School Tabora Sekondari.
Na wewe ni mkongwe jamaa!!Kumbe ninyi ndiyo mlikuwa mnaiba matunda (zambarau na embe)kwa mzee Boga na kuogelea Kandiloni kule mitaa ya Ng'ambo?
Enzi hizo wasaga sumu mlikuwa mnawaitaje?Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Nilikuwa nawaangalia tu nikiwa mitaa ya Kiyungi.Na wewe ni mkongwe jamaa!!
Kumbe na wewe tabora umeishi sio!?Nilikuwa nawaangalia tu nikiwa mitaa ya Kiyungi.
Nawafuatilia kutokea Google mkuu.Saa hizi nimetoka kuangalia mitaa ya Kanyenye,Makokola kwa mama "Asumani" hadi Ntalikwa.Kumbe na wewe tabora umeishi sio!?
Mm nlikuwa natoka kuchunga ng'ombe nakuta watu wanafurahia kulikuwa na shangwe na nderemo🤣najua mtabisha sana ila mm ndo nishasema