Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Heri ya siku ya uhuru wadau.

Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.

Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.

Kweli wakati ni ukuta.

Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Enzi hizo wasaga sumu mlikuwa mnawaitaje?
 
Mm nlikuwa natoka kuchunga ng'ombe nakuta watu wanafurahia kulikuwa na shangwe na nderemo🤣najua mtabisha sana ila mm ndo nishasema
huu muandiko wa mtu mwenye miaka 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33 au 34 haki vile mkuu uvuki kwenye miaka hiyo...!

nahitimisha kwa kusema kuwa 1961 hukuwepo🥰🤣​
 
Back
Top Bottom