Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Bado hujaandika,nasema bado,kuna miaka saba mbele,jipange kwelikweli
 
Na bado.wa msoga kasema.muendelee kukandamizwa
Mswahili ni mswahili tu , yeye ameenda kujikomba maana anamjua jamaa hana cha mswalia mtume basi ameiona kamalizamamboyake hawazi kuna majanga ametuachia anatoka anakenua kenua meno tu. Sisi waafrika tuna shida sana kwa kujikomba. Angalia Marekani Ronald Reagan huwa anaweka misimamo yake hadharani so as marais wote waliotangulia na analindwa kikatibaa ila hapa kwetu sababu kila mtu akiingia anaangalia maslahi yake lazimakujikomba watu wamefanya looting ya public resources balaa. Anyway tutafika tu.
 
Hamia huko Marekani ukamkosoe Trump..
 
Ndio mana maeneo mengi ya nchi jua limegoma kutoka leo[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Itakumbukwa maishani na kila mwenye akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…