Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Kuna mganga mitaa yetu ukimleta mkeo unamwacha unarudi baada ya masaa mawili baada ya mwezi mkeo anaanza kihisi kichefuchefu na kutapika ujue tayari. Kawasaidia wengi na malipo ni baada ya mkeo kupima na kuonekana mjamzito,ni-pm nikuelekeze.
 
heshima mbele wakuu,
naombeni msaada wa mawazo, eti mimba hutungwa siku gani maana kuna masela wananiambia ni siku ya kumi adi kumi na nne, wengine wanasema siku ya 10 hadi 17?
msaada wenu tafadhali juu ya ili swala
 
Pole kwa kusikiliza stori za masela vijiweni.
Lakini tunaongea na wewe kwa kujua una MKE, NA SIYO DEMU!Kama ndivyo, basi lazima utakuwa unajua vyema siku zake(MP).
Kuanzia hapo sasa, waweza kugoogle ukapata maelezo mengi na ya kutosha kuhusiana na jambo hilo..
Wadau pia watakupa maelekezo, kuwa mpole!
Pia jaribu kuangalia HAPA-ITAKUSAIDIA!
 
Kutokana na knowledge yangu ya biology...Mimba inatokea pale ambapo sperm na egg vinapokutana...kwa kawaida mwanamke ana-ovulate (anatoa yai) katika cku ya 14 baada ya period kuanza. Yai linaweza kuwa hai (viable) kwa muda wa mpaka siku 4 baada ya ovulation...so cku yoyote kuanzia 14 mpaka 19 mimba yaweza shika ikiwa sperm zitaingia. Unatakiwa kujua kuwa mzunguko huo unabadilika badilika sana kwa hiyo inakuwa ngumu kufuatisha hizo cku unless umekeep record za ur gal kwa zaidi ya miezi sita....
 
Pole kwa kusikiliza stori za masela vijiweni.
Lakini tunaongea na wewe kwa kujua una MKE, NA SIYO DEMU!Kama ndivyo, basi lazima utakuwa unajua vyema siku zake(MP).
Kuanzia hapo sasa, waweza kugoogle ukapata maelezo mengi na ya kutosha kuhusiana na jambo hilo..
Wadau pia watakupa maelekezo, kuwa mpole!
Pia jaribu kuangalia HAPA-ITAKUSAIDIA!
Hana mke huyo mkuu anavyoelekea,ila anaogopa kukapachika mimba kasichana kake sijui ka denti au..........kwa mtazamo huo jibu hili saizi yake;
MHESHIMIWA SANA MASHO,MBEGU ZA KIUME ZILIZO SAFI,ZIKIKUTANA NA YAI SAFI LA KIKE......LAZIMA UPATIKANE MIMBA
 
thanx preta naangalia now
WE MASHO VIPI WEWE? HUWATUNASEMA THANKS,NA KUBONYEZA KUSHOTO YA NYOTA PALE CHINI YA PAGE.Hata hivyo samahani kama nakukwaza,ni mawazo yangu tu.
 
heshima mbele wakuu,
naombeni msaada wa mawazo, eti mimba hutungwa siku gani maana kuna masela wananiambia ni siku ya kumi adi kumi na nne, wengine wanasema siku ya 10 hadi 17?
msaada wenu tafadhali juu ya ili swala

Licha ya kusurf hizo website kwa msaada, nakushauri upige kazi kwa bidii iko siku utampreg huyo mpenzi, kama unalala doro hata huo ushauri wa kwenye web hauna msaada.
 
Preta katoa website nzuri sana. nampa hongera. nimeipenda hiyo website, ni moja ya maelezo mazuri kuliko web nyingi ambazo nilishawai kupitia. however, unatakiwa kujua ya kuwa, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hivyo pamoja na kwamba Mungu ametupatia elimu ya biologia ili tuelewe, vitu vyote hivi haviwezi kuizidi hekima na makusudi ya Mungu. hivyo mwombe Mungu ili upate mtoto. usitegemee kalenda au akili zako wewe mwenyewe. pengine litakuwa ni jaribu tu, au pengine shehe yahya na rafiki zake wameshafanya mambo. ndo maana ukikimbilia kwa Mungu, hakuna hata haja ya kuwa na wasiwasi. Mungu na akusaidie.
 
Na mwanamke baada ya kumaliza siku zake inabidi akae mda wa siku ngapi ili asiweze kupata mimba??Na pia kabla ya siku pia!!
 
Me navyojua na nilisha practice hiyo plan kuwa mama akianza period siku ya kwanza na ndio uhesabu moja na kufuatiza zingine hata akimaliza period we endelea kuhesabu ila ifikapo siku ya 13 na 14 na mkifanya ndipo mtoto wa kiume hupatikana . na mkijamiana siku hizo mbili yani siku ya 13 na 14 iwe ndio basi msijamiane tena mpaka baada ya siku kama 3 au nne zipite

Unamaanisha msijamiiane au msimwagiane mbegu?
 
Jibu sahihi:
1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili?

2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote!

Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant or to avoid pregnancy!

With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles) are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days! [/QUOTE]


angalau wewe!!wengine wanabahatisha sana
jamani nendeni vituo vya afya mkapate hii huduma SAHIHI ie huduma ya mpango wa uzazi (wa aina zote),huduma ya kinamama (PMTCT) pia hutoa hii huduma
tofauti ya menstral cycle kwa wanawake ni tofauti SANA...alaaaa
 
Njoo kwangu nina uwezo wa kutoa mapacha

Kwani muuliza swali amekwambia yeye hana watoto mzee, soma vizuri, umerukia tu kuzungumza kilichokujaa moyoni bila hata kuwa na ufahamu...aje kwako una uwezo wa kutoa mapacha? kwanza yeye anayeleta mada anaonekana mwanaume...na wewe unatamba kuwa unao uwezo wa kutoa mapacha, kama Mungu asingekusaidia kuwa na watoto mapacha unaoringa nao kiburi ungekitoa wapi, si ungekuja hapa unalialia kuomba msaada...nenda katubu hii dhambi uliyoifanya hapa haraka sana.....kuna watu hapa wana tatizo la kupata watoto, na wewe umekuja kuwapiga msumari kwamba waje kwako utatoa mapacha, hivi umeongea toka moyoni mwako kweli?, haumwogopi Mungu, haujui kama Mungu anaweza akakufanya lolote sasahivi kisisimame tena tuone hao mapacha unaowaumiza wenzio moyo utawatoaje, haujui kama Mungu huwainua wale wanyenyekevu na kuwashusha wenye kiburi, Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema....kwa kukusaidia, nenda katubu kwa Mungu, utapona, la sivyo, Mungu atakushusha ili uwe sawa na wamama na wababa wengi wenye shida ya kupata watoto humu jf.

Kama kuna mtu humu amepata watoto, hebu piga magoti mshukuru Mungu. however, kwa wale ambao hawapati mimba, naomba wamsubiri Mungu, mwombeni Mungu atawapa watoto hakika, Mungu humweka nyumbani mwake mwanamke aliyetasa ili awe mama wa watoto wenye furaha, furahi ewe uliye tasa, kwasababu watoto wake yeye aliyeachwa ni wengi kuliko wa yule asiyeachwa...Mungu wako atakupigania endapo utamkumbuka na kumheshimu.....nimepokea watu wenye tatizo kama hili wengi sana, wengine wamekaa miaka hadi kumi hawapati, lakini Mungu anawasaidia, wananyonyesha, Mungu wetu anao uwezo wa kukupatia watoto, watoto ni zawadi toka kwa Mungu wala msiumize kichwa...mwaminini Mungu, mwombeni, msubirini, msiumize moyo bure, mnapozidi kuumiza moyo ndipo inavyozidi kuwa vigumu kibiologia kutunga mimba kwasababu ya stress etc.

Na kiimani, mtu yeyote amwendeaye Mungu pasipo imani hapati kitu, na jambo lolote likitendwa bila imani ni dhambi....hivyo umwendeapo Mungu kama unaona haumwamini, bora usiende kabisaaa, ukienda kwa kumwamini kuwa ANAWEZA YOTE, lazima ataonekana kwako ktk jambo unaloliomba... tulia kimya ili Mungu atakapojitokeza ujue kuwa yeye ni Mungu, tulia mngoje Mungu, Be still and know that he is God, yeye atatukuzwa milele, neno hili Mungu mwenyewe husema (be still and know, I am God), akimaanisha kuwa, usiwe na wasiwasi, usihofu, usiwe na mashaka, alimradi unamwamini, mngojee, usifikiri kama yeye hawezi, HE IS GOD, that is what he means.....Mungu awabariki.
 
Kwanza mwanamke aujue mzunguko wake kuanzia siku ya kwanza ya hedhi mpaka siku moja kabla ya hedhi nyingine, jambo hili atalijua kwa kuangalia kwa miezi si chini ya 3 ingawaje siku zinaweza ongezeka au pungua kutokana na vitu kama stress. Baada ya kujua basi siku za kushika mimba zinaweza kuwa siku ya 10/11 mpaka 17 ingawaje yai hukaa masaa sita tu. Kwa asilimia 98 mtoto wa kiume hupatikana siku ya 14 baada ya siku ya kwanza ya hedhi. Je bwana UbungoX2 watoto wako ni wa kiume au kike? Pia yai likishuka joto la mwili linaongezeka kidogo, wengine usikia maumivu kwa mbali kwenye tumbo la chini, na hamu ya kula ndizi mshale inakuwa juu sana!! Ute unakuwa laini kuruhusu mbegu za kiume kuogelea bila shida.

Kama watu hawapati watoto mwanume naye achunguzwe - je ute wa kutoa - to make it neutral - chumvi ya mkojo kwenye pipe yake upo na unafanya kazi? Ute huu uonekana kwenye kichwa cha mashine mara inaposimama sawia, kazi ya ute huu kufanya chumvi kuwa neurtral ili mbegu zisiungue; pile je mbegu zinakomaa vizuri, hili ni suala la kupima pia.
 
Back
Top Bottom