Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Mkuu hapo inategemeana ni hivi:

Mwanamke ana mayai yenye xx na mwanaume ana xy... sasa siku zote kupata mtot wa kike au wa kiume inatemeana na baba ambaye mbegu zake ni xy..... ( x ya baba ikiungana na x ya mama= mtoto wa kike, na y ya baba ikiungana na x ya mama = mtoto wa kiume)

Sasa iko hivi hizi mbegu za x toka kwa baba huwa zinabeba vitu vinavyoitwa sex linked characters mfano ni magonjwa ya kisukari, anaemia, circle cell nk... sasa kwa kuwa mbegu hizi huwa zinabeba vitu hivyo huwa zinakuwa nzito wakati wa kuogelea kulifuta yai....hii ndo disadvantage kubwa...advantege yake ni kwamba uwezo wake wa kuishi ndani ya uke wa mama ni mkubwa kwani zinaishi kwa masaa 48.

Kwa hiyo basi kwa kawaida yai la mama huenguliwa toka kweye grafian folicle siku ya 13 au ya 14... ikiwa utakutana kimwili na mke wako katika siku hizo tusema siku ya 13, walahi nakwambia hupati mtot wa kike bali utapata wa kiume...sababu moja kubwa ni kuwa mbegu 'Y' huwa zinaogelea haraka kuliko 'x' kwa kuwa 'Y' hazibebi sex linked characters.... lakini nazo zina disadvange moja nayo ni kwamba uwezo wa kuishi ndaniya uke wa mama ni masaa 36 tu.

Kwa hiyo basi ili upate mtoto wa kike siku nzuri za kulala na mkeo ni siku ya 14, 15 hadi 16 isiwe siku ile ya kwanza baada ya yai kuja maana hapo lazima upate kidume..... sasa mimi sijui mzunguko wa mkeo/mmeo mleta mada ningekuwa najua tarehe zake ningekusaidia.

Cha msingi hapa mama ndo anatsakiwa kujua mzunguko wake unaanza lini na unaisha lini.... hili la mzunguko linaeza kuwathiwa na mazingira, chakula, stress au kuugua hivyo kusababisha mama asijue mzunguke wake hasa huwa ni lini au kama kuna tatizo la hormonal balance nahzo factor zingiene...lakini kama mama anajua mzunguko wake na mkakaa pamoja na kupangilia mtaweza kujua ni mtot wa jinsia ipi mzae.

Hivi kwa nini watot wa kike ni wengi kuliko wa kiume? sababu yako iko humu kwenye maelezo... uwezo wa x kuishi ni mkubwa kuliko Y.

Chukulia mfano yai linakuja siku ya 13, halafu mama amekutana kimwili na mumewe siku ya 11... automatically hapo hapo siku yai likija litazikuta mbegu za x zipo maana zenyewe zinashi masaa 72 na y zitakua zimeshakufa tayari...
 
Pokea Mungu anachokupa acha ubinafsi! Mungu akigoma hata utumie nini hupati!
Ridhika ndugu yangu...that is what you need!
 
Kuna rafiki yangu mmoja ambaye ana watoto 2 wa kiume na mmoja wa kike nilipomtka ushauri nifanyeje nipate mtoto wa kike aliniambia kuwa yeye kabla ya kusex na mke wake alipiga demu wa nje viwili alipofika home akapiga kimoja kapiz nje halafu ndio akapiga kingine akamalizia ndani yaani akimaanisha mbegu zake zilizokuwa zikitoka zilikuwa dhaifu yaani xx ndizo zikampatia kabinti.
 
Muone dk Kaisi kama sikosei anapatikana Muhimbili


Not only a doctor but also a PROFESSOR of Obstetrics & Gynaecology.
He was my teacher (lecturer) during those days when I was a Medical student at Muhimbili University College of Health Sciences (MUHAS).

But there is a simple method for sex preselection, it is a natural way and may also be used as a family planning method - though wengi wanaiona ni ya kidini. In fact it is scientifically proven by world renowned professors (Prof. Erick Odeblad, Prof. James Brown) after being discovered by Dr. John Billings with collaboration from her wife Dr. Evelyn Billings. The method is known as BILLINGS METHOD (BM) or BILLINGS OVULATION METHOD (BOM). For reference visit www.woomb.org.

NOTE: It is easier to pre select a female baby than a baby boy.

Ni PM niwe nakupatia details zaidi kwa kuwa nitakayoyaeleza hapa yanaweza kutosha kuandika kitabu. Japo inahitaji couple yenye uaminifu na inayofuata masharti - hii nd'o inwashinda wengi wanakimbilia kusema ni njia ya kidini sana!

Vilivyomo kwenye hiyo website ni basic things na inaweza kuw 80% ya knowledge ambayo nahitaji kukupatia.

Siyo kwamba sitaki kuwapatia knowledge wengine. This is consultation, depends on individual needs and time, lakini wengine pia nawakaribisha FREE WITHOUT CONSULTATION FEES. Nilianza kusoma course hii ili nipate certificate tatizo nilikuwa na mambo mengi saaaana sikumaliza lakini nilivyotakiwa kuvijua nilikuwa tayari nimeshavisoma na hata zaidi ya vile nilivyotakiwa kujua ili niweze kufundisha.
Na labda cha kukuambia tu ni kwamba mtoto wangu wa kwanza sikupanga awe wa kiume au wa kike ametokea kuwa wa kike. Nilijua kuwa atakuwa wa kike pale tu kipimo cha mkojo kilipoonesha kuwa my wife is pregnant (two weeks pregnant) na ilikuja kuwa proved na Ultrasound kuwa mtoto ni wa kike.

Nita-attach documents kesho kama evidence.
 
Aisee!
 
ila wewe shossi uko mkorofi sana, mbona unamfanyia hivyo mwenzio?
 
pole sana, njoo nikusaidie....pm me pls
 

Mkuu asante, nimetembelea hiyo website ipo kitaalam sana, inafaa sasa mtu akutane na mtaalamu kama wewe akupe mwenendo wake ili umsaidie kumpa maelekezo kwa lugha nyepesi zaidi. Thanks again
 

Umenikumbusha lecture ya Professor wa Human Sexuality akiitwa Nagel aliyetembelea UDSM miaka ya nyuma. Hayo mambo ni kweli kabisa. Issue kubwa ni kuujua vizuri kabisa mzunguko wa hedhi wa mwanamke kwa mini research za kabla.
 
Jamani naomba msaada, kuhusiana na muda/siku muafaka kwa mwanamke kushika mimba, kwa mwanamke mwenye cycle ya siku 28 na siku 26.inakuaje
 
Ni siku tatu kabla na at least mbili baada ya ovulation. Ovulation hutokea siku 14 baada ya kuanza menses kwa wenye mzunguko wa siku 28 lakini yaweza badilika kwa watu wenye mzunguko mdogo (polymenorrhea) au wenye mzunguko mrefu (oligomenorrhoea). kwa mzunguko mkubwa au mdogo tofauti na ule wa siku 28, ni vizuri ukahesabu retrospectively. Maelezo chini.

Mzunguko (menstrual cycle) ina phase 2, ile inayoitwa follicular ambayo huanza siku ya kwanza ya menses mpaka ovulation inapotokea, hii haiko constant na urefu wake hubadilika badilika, phase ya pili inaitwa kitaalam Luteal phase, hii huanza siku ya ovulation mpaka unapopata menses ya cycle inayofuata, hii most of the time ni constant, ambayo ina average ya siku 14. kwa hiyo wale ambao mzunguko wao sio wa siku 28 kujua ni lini wanaovulate wanatakiwa watafute average ya cycle yao, au waangalie mara nyingi mzunguko wao unakuwa ni wa siku ngapi, ukishajua mfano siku 30 au 26 on average, maana yake ukitoa siku 14 za luteal phase (a constant phase) utabakiwa na siku 16 au 12 respectively za follicular phase, kwa hiyo utaovulate on day 16 kwa yule mwenye mzunguko wa siku 30 au day 12 kwa yule wa siku 26 toka unapoanza menses. So fertility days ni siku tatu before na mbili baada ya menses, siku zote hizi una uwezo wa kushika mimba, kwa yule wa day 16 atakuwa fertile kuanzia day 13 mpaka day 18, siku zote hizi waweza kushika mimba. But this is average, kwa uhakika wa kupata mimba kutana na mwenzi wako angalau siku tatu kwa wiki, alternative days the best, lazima utakutana nae siku fertile hata kwa wale wenye irregular menses. Unaweza pia kujua urefu wa luteal phase kwa kupima hormones, hii ni ghali kidogo.

Nadhani nimeeleweka. Kila la kheri, naomba nipate majibu ya kauncle kakianza kumove kwa uterus.
 
Me huwa inanichanganya sana mara sijui siku ya nne mara ya tatu mara ya 14 hata huwa sielewi inabidi niwe serious nikae chini na nifatilie kwa makini na nijue ina works vipi
 
Jamani waungwana wa JF,

Ni mwaka mmoja sasa tangu nilivyoanza kuishi na mke wangu wa kuoa. Kuanzia Octoba,2010 tulipanga mke wangu ashike mimba ya the first born ila kwangu angekuwa wa pili sababu nilishazaa na mke mwingine before. Wonderfully,few days before her next month cycle alionekana na dalili mojawapo ya mimba yaani kichefuchefu na kutapika. Siku moja baada ya dalili hii alijikuta akianza tena her next MP/cycle. Ofcourse wote tulichanganyikiwa!! Na zaidi ni kuwa MP ya term ile ilienda mpaka siku 35 badala ya siku 30 za her normal cycle.

Baadaye mke wangu alisafiri kwenda kusoma na tukaja kujaribu tena Dec,2010! At this time ilichanganya zaidi,kwa vile alijisikia dalili zote kama vile za kutaka kutapika,kuishiwa hamu ya kula,ladha mbaya chakula na kuchoka sana...tukajua yap! Na ili kujiridhisha na ilo akaenda hospital for pregnancy test na matokeo yakaja negative. Akashauriwa na Doctor atest for malaria na typhoid but matokeo yakawa tena negative. A week late akanza tena her MP and her cycle also was over 30 days. Baada ya hapo akarudi tena chuo mpaka saizi.

.....we are both confused,Hatujaenda kwa mtalaam yeyote mpaka sasa.Tunasubiri ushauri wenu wa hekima before we take any further action!
 


Mkuu Wende pole.

1. Naona ni kama wewe na mwenzako hampo pamoja muda mwingi. Na huenda ule muda ambao haupo ni mzuri kwa mimba.

2. Kuchoka, kutapika, kukosa hamu ya kula etc yaweza kuwa dalili ya mimba, lakini pia magonjwa mengine yanaweza kuwa na dalili hizo.

3. Malaria yaweza kuwa na dalili hizo na pia unaweza pata majibu negative ukienda maabara and still malaria ipo.
4. kipimo cha mimba ikiwa changa waweza pima mkojo hospitali au nyumbani ukielekezwa kama hukufanya basi huwezi kusema kama hizo safari mbili alipopata dalili hizo alikuwa mjamzito.

5. MP cycle fluctuates japo normal hutegemea ya mtu na mtu, ya mkeo umesema ni 30days, but can shorten or become prolonged depending na factors mbalimbali kama, change of whether, stress yoyote( kazi, shule, maisha etc)

6. We kuwa na mtoto mwingine haqkumaanishi kuwa huwezi kuwa na tatizo (simaanishi lipo)
Bwana wende nenda na mwenzio mkamuone daktari wa kinamama aliye karibu nawewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…