Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Mkuu hapo inategemeana ni hivi:
Mwanamke ana mayai yenye xx na mwanaume ana xy... sasa siku zote kupata mtot wa kike au wa kiume inatemeana na baba ambaye mbegu zake ni xy..... ( x ya baba ikiungana na x ya mama= mtoto wa kike, na y ya baba ikiungana na x ya mama = mtoto wa kiume)
Sasa iko hivi hizi mbegu za x toka kwa baba huwa zinabeba vitu vinavyoitwa sex linked characters mfano ni magonjwa ya kisukari, anaemia, circle cell nk... sasa kwa kuwa mbegu hizi huwa zinabeba vitu hivyo huwa zinakuwa nzito wakati wa kuogelea kulifuta yai....hii ndo disadvantage kubwa...advantege yake ni kwamba uwezo wake wa kuishi ndani ya uke wa mama ni mkubwa kwani zinaishi kwa masaa 48.
Kwa hiyo basi kwa kawaida yai la mama huenguliwa toka kweye grafian folicle siku ya 13 au ya 14... ikiwa utakutana kimwili na mke wako katika siku hizo tusema siku ya 13, walahi nakwambia hupati mtot wa kike bali utapata wa kiume...sababu moja kubwa ni kuwa mbegu 'Y' huwa zinaogelea haraka kuliko 'x' kwa kuwa 'Y' hazibebi sex linked characters.... lakini nazo zina disadvange moja nayo ni kwamba uwezo wa kuishi ndaniya uke wa mama ni masaa 36 tu.
Kwa hiyo basi ili upate mtoto wa kike siku nzuri za kulala na mkeo ni siku ya 14, 15 hadi 16 isiwe siku ile ya kwanza baada ya yai kuja maana hapo lazima upate kidume..... sasa mimi sijui mzunguko wa mkeo/mmeo mleta mada ningekuwa najua tarehe zake ningekusaidia.
Cha msingi hapa mama ndo anatsakiwa kujua mzunguko wake unaanza lini na unaisha lini.... hili la mzunguko linaeza kuwathiwa na mazingira, chakula, stress au kuugua hivyo kusababisha mama asijue mzunguke wake hasa huwa ni lini au kama kuna tatizo la hormonal balance nahzo factor zingiene...lakini kama mama anajua mzunguko wake na mkakaa pamoja na kupangilia mtaweza kujua ni mtot wa jinsia ipi mzae.
Hivi kwa nini watot wa kike ni wengi kuliko wa kiume? sababu yako iko humu kwenye maelezo... uwezo wa x kuishi ni mkubwa kuliko Y.
Chukulia mfano yai linakuja siku ya 13, halafu mama amekutana kimwili na mumewe siku ya 11... automatically hapo hapo siku yai likija litazikuta mbegu za x zipo maana zenyewe zinashi masaa 72 na y zitakua zimeshakufa tayari...