Ninamashaka na taaluma yako kama kweli uko kwenye hiyo fieeld. Hebu tuambie norma woman anamzunguko wa siku ngapi? Mbona unakimbilia kwenye ubnormality? Ndo nyie mnatozwa hela kwa vitu visivyo vya lazima. Waache watu wapate elimu ya bure kwenye fursa kama hii. Baada ya kuleta suluhisho we unasema eti nababaisha, ulishazoea kutozwa hela hata kwenye haki yako.

Wewe Riwa nilichokiandika mimi ni for normal woman. Kama kuna ubnormal woman lete mapendekezo hapa, na si kusema eti kunaubabaishaji hapa kwenye sayansi. Hapa tunaapply Science.

Wewe Riwa nilichokiandika mimi ni for normal woman. Kama kuna ubnormal woman lete mapendekezo hapa, na si kusema eti kunaubabaishaji hapa kwenye sayansi. Hapa tunaapply Science.
Duh, hizi timing utafikiri za kumchinja kobe jamani? I presume kuwa timing negative ya haya maelekezo ni wa kike.
Kama wewe ni mwanamke, hakikisha Mr. Anashusha kabla yako mpaka utaposhika mimba. Na kama ni mwanamme hakikisha unashusha kabla ya bibie mpaka ataposhika Mimba.
Dina...hakuna rocket science hapo, vyote easy tu hapo. Principle ya kwanza elewa mzunguko wako, ya pili fanya timing kutokana na mzunguko wako. Hayo maelezo mengine ni explaination tu ya kwanini utime siku ya 16 au 17, na sio 13 au 14...
Hili la mtoto wa kiume linasumbua watu wengi sana

Nyadunga...hii njia inakuwezesha kuongeza kwa kiasi kikubwa 'uwezekano' wa kupata mtoto wa kiume, lakini sio lazima kupata mtoto wa kiume ukifuata njia hii. Njia ya uhakika zaidi (kama una hela) ni kurutubisha yai nje ya tendo la ndoa (In-Vitro Fertilization).

Njia hii kama alivyokuambia mpita Njia...inafuata 'timing' ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke, hivyo shati uelewe mzunguko wa mkeo ( ni mrefu zaidi ya siku 28, au siku 28, au mfupi chini ya siku 28) kwani hii hubadlisha timing ya tarehe/siku za kufanya tendo.

Kwa kawaida, genetically binadamu ana chromosomes X na Y (usijali sana hiki ni nini), akiwa na XX basi huyo ni mwanamke..na akiwa na XY basi huyo ni mwanamume. Wakati wa kutunga mimba, mtoto anapata nusu ya chromosome toka kwa yai la mama (X) na nusu toka kwa mbegu ya baba (X au Y). Kwa hiyo yai la kike mara zote ni X na mbegu ya kiume ni aidha X au Y.

Manii (kumradhi..shahawa) inapomwagwa ina mbegu za kiume zaidi ya milioni kwa goli moja, mbegu hizi ni mchanganyiko wa X na Y. Ila sasa, mbegu X na Y zina tabia tofauti..

- X zinaishi muda mrefu (hadi siku 3), lakini ziko slow...hivyo zikimwagwa huchukua muda mrefu kulifikia yai na kulirutubisha

- Y zinaishi muda mfupi (siku 1 na nusu), lakini ziko fast...hivyo zikimwagwa huwai kulifikia yai na kulirutubisha kama limeiva vya kutosha.

Sasa hapo ni kucheza na timing tu mkeo anatoa yai lini kutokana na urefu wa mzunguko wake wa mwezi. Yai likitolewa linakuwa halijakomaa na ukuta wake mgumu kwa mbegu kupenya, inachukua siku 1 na nusu hadi 2 kwa yai kumature na ukuta kuwa laini kupenywa na mbegu. Hivyo ukishanote siku ambayo mkeo anatoa yai (yai hutolewa kati kati ya mzunguko...usually siku ya 14 au 15 ya mzunguko) ongeza siku 2 then mfanye tendo, hapo assumption ni kuwa yai litakuwa limeiva na ukuta laini, na ukimwaga mbegu basi zile Y ambazo ni za kiume zitawahi na kurutubisha yai kabla ya X ambazo ni za kike. Hapo unazaa mtoto wa kiume.

Kwa hiyo basi, kuna uwezekano mkubwa sana wa kuzaa mtoto wa kiume kama utafanya tendo na mkeo siku ya 16 na/au 17 ya mzunguko tangu mkeo aanze bleeding!

Wewe Riwa nilichokiandika mimi ni for normal woman. Kama kuna ubnormal woman lete mapendekezo hapa, na si kusema eti kunaubabaishaji hapa kwenye sayansi. Hapa tunaapply Science.
Ni ngumu kidogo nlakini rahisi pia. Inahusisha mwanamke kujua mzunguko wa siku zake.
Kwa kawaida, mayai ya (mwanamke) mtoto wa kike na kiume yana sifa zinazotofautiana. Yale ya mtoto wa kike huwa yana kasi sana katika kusafiri kwenye mji za uzazi kuliko ya kiume. lakini, ya kike hufa mapema kuliko ya kiume.
Hivyo, siku yanapopevuka na kutoka kwenye ovary, mayai ya kike, kwa kuwa yanasafiri haraka, huwa mbele ya yale ya kiume. kama kuna mbegu za kiume yenyewe ndio yanakuwa ya kwanza kukutana nazo. Hivyo, kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya mayai kupevuka, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kike.
baada ya siku tatu tangu mayai ya kike yaachiwe kwenye ovary yanakufa. lakini yale ya kiume huweza kudumu mpaka siku tano. Hivyo, kama ukifanya tendio la ndoa siku, mathalani ya nne baada ya mayai kutoka kwenye ovaries, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume kwa sababu mpaka wakati huo almost mayai yote ya kike yatakuwa yamekufa.
lakini inatakiwa mwanamke ajue kwa undani mzunguko wa siku zake ili kufanya timing nzuri. uinabidi ajue mayai yanaachiwa lini kwenye ovaries ili aweze kufanya hesabu hizi na zilete matojkeo yanayotarajiwa

Jamani mnanchanganya, huko ambako y znakimbia kuliko x niwapi? Kwenye seamen au ktk yai la mwanamke.?
Sawa ni ukuta hii nakubali, mimi mwenyewe hedhi ni siku nne mpaka tano, kwa hiyo sijui unabisha niniBB hedhi haitokani na yai kupasuka. Hii inatokana na ukuta wa uterus uliokuwa richly supplied with blood kuanza kudetach baada ya mabadiliko ya homoni yatakayosababisha blood cut off hivo unakuwa not growing any more. Kayai kenyewe ni microscopic hata yai la buibui linaonekana hiyo damu ya cku tano itatoka wapi? Mi nahisi kuna siasa zinaendelea hapa na kuchakachua maelezo yaliyotolewa na wachangiaji ambao wanahitaji watu waelewe.