hapo ni kwamba yai la kike linapevuka siku ya 14 tangia uanze kutumika(bleed)na yai likipevuka linasafiri kwenye mirija ya uzazi hadi kwenye mji wa uzazi.kumbuka yai ya mwanamke linakuwa hai kwa siku 3 kama halitakutana na mbegu ya mwanamke.Mkuu ungetupia hiyo kanuni ili wailewe itawasaidia hata siku ukiwa haupo wapige wenyewe mahesabu....bora uwafundishe kuvua samaki badala ya kuwaletea wewe kila siku.
Wife kwa miez kadhaa mfululizo
amekua akipata hedhi kila tar 23 na inachukua siku 3 hadi 4 kumaliza lkn siKu 4 huwa ni mara chache sana na Huwa ni kidogo mno!
sasa naomba mnisaidie ana mzunguko wa siku ngapi? Na na siku zake za mimba kuingia ni zipi?
16 march
wa kwangu mimi siku 28 alianza peri0d mwezi huu tarehe 1,ila yeye anamaliza siku ya 6 hadi kuwa msafi.je ni siku gani anakuwa safe na siku gani anaweza shika mimba #zubeday0_mchuzi
Tarehe 26/03/2014 mzunguko ni siku 30/31.
Day 1, ilikuwa tarehe 01.March.
Mzunguko wangu ni siku 35.
Me nilianza period tarehe1 march til 5march bt on 7march nilisex jion wakat naenda kuoga kuvua chup nkakuta dam za kumalizia kuna any chance of conciving?mzunguko wng 28dayz
Wife kwa miez kadhaa mfululizo
amekua akipata hedhi kila tar 23 na inachukua siku 3 hadi 4 kumaliza lkn siKu 4 huwa ni mara chache sana na Huwa ni kidogo mno!
sasa naomba mnisaidie ana mzunguko wa siku ngapi? Na na siku zake za mimba kuingia ni zipi?
Me yangu...trh 8/3/2014.Msaada tafadhali
last bleed ilianza 14 march..... n mzunguko ni 33/34 dayz...
Month 1
Saturday 1st March 2014 - First day of your cycle
Monday 17th March 2014 - Best chance of conceiving a girl
Tuesday 18th March 2014 - A little bit fertile, best chance of conceiving a girl
Wednesday 19th March 2014 - Fertile, best chance of conceiving a boy
Thursday 20th March 2014 - VERY fertile, best chance of conceiving a boy
Friday 21st March 2014 - Time to ovulate
Monday 31st March 2014 - A home pregnancy test may work now.
Friday 4th April 2014 - End of cycle
Monday 7th April 2014 - No period? Maybe you're pregnant!
Month 2
Saturday 5th April 2014 - First day of your cycle
Monday 21st April 2014 - Best chance of conceiving a girl
Tuesday 22nd April 2014 - A little bit fertile, best chance of conceiving a girl
Wednesday 23rd April 2014 - Fertile, best chance of conceiving a boy
Thursday 24th April 2014 - VERY fertile, best chance of conceiving a boy
Friday 25th April 2014 - Time to ovulate
Monday 5th May 2014 - A home pregnancy test may work now.
Friday 9th May 2014 - End of cycle
Monday 12th May 2014 - No period? Maybe you're pregnant!
Month 3
Saturday 10th May 2014 - First day of your cycle
Monday 26th May 2014 - Best chance of conceiving a girl
Tuesday 27th May 2014 - A little bit fertile, best chance of conceiving a girl
Wednesday 28th May 2014 - Fertile, best chance of conceiving a boy
Thursday 29th May 2014 - VERY fertile, best chance of conceiving a boy
Friday 30th May 2014 - Time to ovulate
Monday 9th June 2014 - A home pregnancy test may work now.
Friday 13th June 2014 - End of cycle
Monday 16th June 2014 - No period? Maybe you're pregnant!
naenda kuangalia bunge la katiba nikirudi ntakupa ya siku 30,
Habari zenu wana JF?
Kama inavyojieleza hapo juu kama unapenda kujua siku zako za kushika mimba kwa miezi miwili ijayo tafadhari...
tupia hapa.....Tarehe ya mwisho ya kupata hedhi.
.....Idadi ya siku za mzunguko wako mfano siku 30,22,28.
Kama kuna mbaba unajua ya mwenzi wako tupia hapa,ntatoa hapa hapa majibu.
twende kazi,nafanya hivi nikijua kuna wengine wako bize kwa njia hii tutasaidiana kujua,na wataalamu mambo ya uzazi watakuwa na michango yao pia.