Sibhonike
Senior Member
- Apr 10, 2011
- 156
- 16
Na IWE KWAKO KAMA UAMINIVYO...........
Aaamiiin...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na IWE KWAKO KAMA UAMINIVYO...........
13. 2. 2014 mzunguko siku 26
Habari zenu wana JF?
Kama inavyojieleza hapo juu kama unapenda kujua siku zako za kushika mimba kwa miezi miwili ijayo tafadhari...
tupia hapa.....Tarehe ya mwisho ya kupata hedhi.
.....Idadi ya siku za mzunguko wako mfano siku 30,22,28.
Kama kuna mbaba unajua ya mwenzi wako tupia hapa,ntatoa hapa hapa majibu.
twende kazi,nafanya hivi nikijua kuna wengine wako bize kwa njia hii tutasaidiana kujua,na wataalamu mambo ya uzazi watakuwa na michango yao pia.
13. 2. 2014 mzunguko siku 26
Tarehe: 18th March 2014
Idadi: Not consistence but 30-40 days
Trh16april.. mzunguko ni 28-30
8/3.
Mzunguko siku 28
Habari zenu wana JF?
Kama inavyojieleza hapo juu kama unapenda kujua siku zako za kushika mimba kwa miezi miwili ijayo tafadhari...
tupia hapa.....Tarehe ya mwisho ya kupata hedhi.
.....Idadi ya siku za mzunguko wako mfano siku 30,22,28.
Kama kuna mbaba unajua ya mwenzi wako tupia hapa,ntatoa hapa hapa majibu.
twende kazi,nafanya hivi nikijua kuna wengine wako bize kwa njia hii tutasaidiana kujua,na wataalamu mambo ya uzazi watakuwa na michango yao pia.
Mkuu mi mpenzi wangu mara ya mwisho kuona blid ilikuwa mwezi wa kwanza mwishon mpk sasa hajaona siku zake na hana dalili zozote either za mimba wala za kublid juzi alilalamika tumbo linataity na maumivu juu sasa nashindwa kuelewa tatizo,nn
Trh 18 march. Mzunguko 31
Mpaka leo hujaona siku zako..
27 march mzunguko 28-30
Bado. Hajaona