Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Na kumpata toto la kiume je??

Biologically ni siku ya 14 na 15 but kuna vitu vingi sana vya kutake care kabla ya hapo,sometime tunamuachia mungu maana sio wote hiyo kitu inafanya kazi wapo hd madoctor wenyewe wanapata mtoto wa jinsia moja na wanatamani kupata jinsia nyingine but inashindikana kufuata hiyo principle.
 
Habari. Jamani nimefanya mapenzi na mpenzi wangu siku moja kabla hajaingia kwenye siku zake. Je nayo ni siku hatari ya kushika mimba au sio?
 
Kama ni siku moja kabla ya sikuzake inamaana yai lilishapevuka na hakuna hatari ya kupata mimba, mimba inaingia wakati wa ovulation na siku 14 baada ya kumaliza siku.
 
Mimi ni binti, nina umri wa kutosha kabisa, sina mtoto ila sasa nimejiwekea malengo mwaka huu nipate mimba na nizae mtoto. Basi nikajaribu January 6 ilikuwa siku ya 14 tangu ni-bleed ikawa bila, nikijaribu tena february siku ya 11,12 na 13 tangu nibleed nayo naona bila leo nimejaribu kwenda hospitali.

Kuonana na Dr. mmoja hivi wa wanawake na kanieleza yaleyale na kusema huwa hawafanyi chochote kwa mtu ambae hajakaa kwenye ndoa mwaka mmoja na mume akakosa mtoto. Yeye kasema nijaribu at least wiki moja kuanzia siku ya kumi.

Sasa mume mwenyewe yuko mbali na mimi niko mkoani kikazi, nilimfuata mara mbili imeshindikana. Nataka nijaribu hii ya tatu na nimemaliza bleed jana, nilianza tarehe 19.

Ushauri tafadhali Dr, kama unao tofauti na alionipa Dokta au kwa kuongezea. Natanguliza shukrani zangu.
 
Binti tulizana, mume kama yuko mbali hiyo mimba utaipata sokoni.
 
Ukiwa unajistress hivo inakuwa shida kushika mimba!RELAXXX....furahia ndoa yako na utapata ujazito!!
 
uko mbali na mume mimba itakaaje,fuata hvyo dr alvyokuambia
 
Binti tulizana, mume kama yuko mbali hiyo mimba utaipata sokoni.

Kwani wanandoa wangapi wanaoishi mbali na waume zao kwasababu ya kazi je hawatembeleani!!!!! Nauli kwangu sii tatizo issue ni kuterget tarehe nzuri and that was my question samahani kama hukunielewa vzr. Kuwa mbali na mune aiykigezo cha kutokuwa na mtoto. Ila sikulaumu maana hapo ndio mwisho wa kufikiria kwako. Asnate kwa mchango wako.
 
Pole mamii utapata,watu hukaa hata zaidi ya miaka kumi na wanakuja kupata,sembuse na ww miezi miwili!
kikubwa ni kumwomba Mungu pia punguza stress.Mungu ni mwema atakupa haja ya moyo wako..
 
Kuna mtu alinishauri jambo zuri but ile msg siioni tena sijui aliituma kwa njia gani kama vipi naomba anitumie tena plzzz
 
Back
Top Bottom