mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mtume au nabii ndo cheo chake.wale wengine ni wanafunzi wake.Mwana wa mungu, kwa mujibu wa bible
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.
Na yesu hakuwa na baba.mimba yake iliingia kimiujiza.kumuita mtoto wa Mungu ni kumkosea heshima Mungu mwenyewe