Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

Daudi alikuwa Mfalme wa Waisrael au Wapalestina

Yesu alikuwa Muisrael au Mpalestina.


Haya maswali yanajibu kamili kuhusu Uislam
UIslam kwenye hayo maswali 2 unasemaje ?
 
Wakati wa kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (karne ya 6), hakukuwa na kalenda rasmi kama tunavyoijua leo huko Makkah.

Watu wa Arabia ya kabla ya Uislamu walitumia mbinu za jadi za kupima muda kwa kuhesabu miaka kulingana na matukio makubwa yaliyotokea, mfano ni Mwaka wa Ndovu)Tembo (عام الفيل), mwaka ambao Mtume Muhammad alizaliwa, uliitwa hivyo kutokana na jaribio la kushambulia Makkah lililoongozwa na Abraha akiwa na ndovu/Tembo,.

Hata hivyo, Waarabu walikuwa na uelewa wa kalenda za mwezi, wakifuatilia miezi ya mwandamo kwa matumizi ya kidini, kijadi,mila na desturi.

Baadaye, baada ya Uislamu kuanza, Waislamu walitengeneza kalenda ya Kiislamu inayojulikana kama Hijri, inayohesabiwa kuanzia mwaka ambao Mtume Muhammad alihamia Madina.
 
Katika tafiti za kisayansi na kihistoria:


Uthibitisho wa Kihistoria: Watafiti wengi wa historia ya Uarabuni ya kabla ya Uislamu hawajapata rekodi za moja kwa moja zinazothibitisha kushambuliwa kwa Makka na jeshi la Tembo kutoka vyanzo vya nje.





Tafiti za Kijiografia: Wataalamu wa kijiografia wanaoangalia hali ya mazingira ya wakati huo wanasema kwamba Tembo walikuwa na uwezekano wa wa nadra sana.


katika eneo la Arabuni ,jangwani, mchangani, lakini uwezekano wa kutumika kwa tembo katika vita ulikuwepo kutokana na mawasiliano ya Abraha na Waethiopia, ambao walitumia tembo katika vita.


Hali ya Hewa na Jiografia: Kusafirisha tembo kupitia jangwa la Arabuni ilikuwa changamoto kubwa kwa sababu ya ukame, ukosefu wa maji, na umbali mrefu wa safari. Tembo ni wanyama wakubwa wanaohitaji kiasi kikubwa cha maji na chakula, hivyo usafirishaji wao kupitia jangwa la Arabuni unaweza kuwa kazi ngumu na ya gharama kubwa.


Mtazamo wa Kisayansi: Wanasayansi wengi wanaona tukio hili kama sehemu ya historia ya kidini na simulizi za kihistoria zinazohitaji kuangaliwa katika muktadha wa imani na mapokeo ya kijamii, badala ya kama ukweli wa moja kwa moja wa kihistoria.
 
Sayansi si imegunduliwa juzi tu hapo?
Juzi wapi uislamu unaanzishwa calender ya kirumi tayari ipo mwaka wa 600+ na ndoo hii inayosema ni mwaka 2025

Wakati huo muhammad hajazaliwa golden age ya wagiriki ilikuwa imeshapita mda sana elimu hii tunayosoma leo imetokana na wagiriki
 
Juzi wapi uislamu unaanzishwa calender ya kirumi tayari ipo mwaka wa 600+ na ndoo hii inayosema ni mwaka 2025

Wakati huo muhammad hajazaliwa golden age ya wagiriki ilikuwa imeshapita mda sana elimu hii tunayosoma leo imetokana na wagiriki
Mwambie huyo kobasi, anawaza mabikira TU na mito ya pombe
 
Hadi mwaka 2024, idadi ya waumini wa Kiislamu duniani imefikia takriban watu bilioni 2. UIslam ni dini ya pili kwa ukubwa Duniani baada ya Ukristo, na inajumuisha takriban 24% ya idadi ya watu duniani. Takriban 62% ya Waislamu wanaishi katika kanda ya Asia-Pasifiki, ikiwemo nchi kama Indonesia, ambayo ina idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani, pamoja na Pakistan, India, na Bangladesh.

Hiyo idadi itaongezeka maradufu maana uislamu ulitabiriwa ujio wake kama mpinga Kristo atakayepotosha sana.
Hivi huyo muanzishaji wa hiyo dini Mohamed alikuwa na umri gani wakati anagegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa
 
Hiyo idadi itaongezeka maradufu maana uislamu ulitabiriwa ujio wake kama mpinga Kristo atakayepotosha sana.
Hivi huyo muanzishaji wa hiyo dini Mohamed alikuwa na umri gani wakati anagegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa
Alikuwa na miaka kama 50 hivi Yan
 
Juzi wapi uislamu unaanzishwa calender ya kirumi tayari ipo mwaka wa 600+ na ndoo hii inayosema ni mwaka 2025

Wakati huo muhammad hajazaliwa golden age ya wagiriki ilikuwa imeshapita mda sana elimu hii tunayosoma leo imetokana na wagiriki
Mkuu inaonekana jamaa hajui hata sayansi nini 😂
 
Nikisema uislam umejengwa juu ya Ukristo ntakuwa nakosea ? Yaani ilifanyika gap analysis then ukaanzishwa uislam ?

Walijichomekea na kuanzisha uislamu, na wanatumia nguvu nyingi sana kuhalalisha.
Hivi inakuingia akili Mungu aanzishe dini nyingine isioendana na mafundisho ya Yesu.
Kwa mfano huyo Mohamed mwenyewe alichinja Wayahudi pamoja na mauchafu mengine mengi kama vile kugegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa
 
Alikuwa na miaka kama 50 hivi Yan

Hadi nimehisi kichefu chefu Cha kutaka kutapika, nje huku nikiangalia katoto ka miaka tisa halafu niwaze libabu la miaka hamsini linakagegeda na leo linaabudiwa aisei
 
Mkuu inaonekana jamaa hajui hata sayansi nini 😂
Anashindwa kuelewa walioandaa kalender ni wanajimu leo tunawaita astronaut zile ni hesabu zilipigwa hasa hii calender ya jua tunayoitumia leo ni hesabu kali zilipigwa
Watu wanadhani siku 366 ni mtu alibuni hapana ni hesabu zilipigwa
 
hakuna mtume yeyote au nabii yeyote aliyekuwa mkristo..
Mafundisho yote ya kwenye biblia ya kale ndo Mafundisho ambayo walikuja nayo mitume wote mpaka Muhammad alipofika.ya Mungu mmoja.


Mungu anasema, 'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'. Ndiyo maana leo hii mpaka tuna watu wanajilipua na kuua watu wengine, wakiamini wakifanya hivyo, watafika ahera na kupewa tuzo. Watu hawa ni dhahiri wanafanya kazi ya shetani, wamepofushwa na kuondolewa maarifa, na kuhadaiwa na Ibilisi kuwa wanafanya mapenzi ya Mungu.

Katika Ulimwengu wa kale, kila jamii ilikuwa na mungu wao. Wayahudi, Mungu wao alikuwa ni Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo. Mungu huyu alijifunua kwa Wayahudi pekee, ndiyo maana hata Musa anapowaletea waisrael zile amri 10 za Mungu, zinatanguliwa na maneno, "Mimi ndiye Mungu wenu niliyewatoa toka utumwani Misri".

Wamisri baada ya kupata mapigo toka kwa Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Israel, wakati wanawafuata Waisrael, walitamka, "tukazane kwani Mungu WAO anawapigania" , wanasema Mungu 'wao', hawasemi Mungu wetu, kwa sababu wao walikuwa na miungu yao.

Maandiko yote ya vitabu vya kale viliwalenga wayahudi. Maagizo yote ya vitabu vya kale yalilenga kuandaa mazingira ya kumpokea masiha, na manabii wakapewa ishara za huyo masiha, lakini wanadamu hata walipoletewa huyo masiha, akafanya ishara zote waluzoambiwa na manabii wa kale, bado hawakumtambua, wala hawakumpokea, waliompokea aliwafanya wana wa Mungu, akawafunulia siri za ufalme wa mbinguni, na ni yeye alilitengeneza Agono Jipya, ambalo sasa likawa siyo kati ya Mungu na wayahudi pekee, bali na watu wa Ulimwengu mzima. Na akawaamuru mitume wake kwenda Ulimwengu mzima kuwafikishia wanadamu wote ujumbe wa Mungu. Anayekubali, anabatizwa na kuwa kiumbe kipya cha Mungu.

Ni kweli kuwa kabla ya Kristo, hakukuwa na ukristo kwa sababu ukristo ni kwa wanadamu wote, lakini agano la kale lilikuwa kati Mungu na wayahudi likitengeneza mazingira ya kumpokea masiha/Kristo atakayewaunganisha wanadamu wote kwa njia ya damu yake takatifu, na baada ya hapo kuifuta sadaka ya damu.

Baada ya Masiha/Kristo kuja Ulimwenguni kwa umbile la mwanadamu, kuendelea kung'ang'ania mafundisho ya kale yaliyokuwa na kusudi maalum, ni kuukataa wokovu.
 
Back
Top Bottom