Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

Kama wao wakiwa mitume yesu atakuwa nani?

Yesu siyo mtume. Yesu ni Masiha/Kristo.

Yesu aliwauliza wanafunzi wake, watu wananiita mimi ni nani?
Mark 8:
13 Yesu alikwenda eneo la Kaisaria Filipi na akawauliza wafuasi wake, “Watu wanasema mimi ni nani[a]?”

14 Wakajibu, “Baadhi ya watu wanasema wewe ni Yohana Mbatizaji. Wengine wanasema wewe ni Eliya. Na wengine wanasema wewe ni Yeremia au mmoja wa manabii.”

15 Kisha Yesu akawauliza, “Na ninyi mnasema mimi ni nani?”

16 Simoni Petro akajibu, “Wewe ni Masihi, Mwana wa Mungu aliye hai.”

17 Yesu akajibu, “Umebarikiwa, Simoni mwana wa Yona. Hakuna aliyekufundisha hilo ila Baba yangu wa mbinguni ndiye amekuonesha mimi ni nani.
 
Kujua siku yake ya kuzaliwa na kufa hakuna faida yoyote.
Ni Kwa sababu jamii yake hawakuwa wenye elimu.
Na ndio maana walishindwa kubaini tarehe ya kuzaliwa ya (SAW)
 
Ni Kwa sababu jamii yake hawakuwa wenye elimu.
Na ndio maana walishindwa kubaini tarehe ya kuzaliwa ya (SAW)
Hapana,sababu ni kwamba si tamaduni za uislamu masuala ya happy birthday hivyo hakuna umuhimu wa kuijua siku ya kuzaliwa kwa muislamu yeyote
 
Hapana,sababu ni kwamba si tamaduni za uislamu masuala ya happy birthday hivyo hakuna umuhimu wa kuijua siku ya kuzaliwa kwa muislamu yeyote
Si zungumzii happy birthday ww, na zungumza swala la kusoma na kuandika katika jamii ya waarabu kipindi cha mtume ilikuwa ni Kwa watu wachache sana.

Na hata mtume mwenyewe hakujua kusoma Wala kuandika kwa mkono wake mwenyewe mpaka anaingia kaburini.
 
Nimekwambia haina faida yoyote
 
Sasa sijaona hoja yako hapo. Kwamba tatizo liko wapi ?

Hivi kuna njia sahihi ya kupokea habari kuzidi masimulizi ya moja kwa moja toka kwa walio muona na kumsikia muhusika ?

Sayansi inawezaje kukupa wewe tarehe sahihi ya kuzaliwa mtu husika au tukio fulani ?
 
Mwana wa mungu, kwa mujibu wa bible

Ushawahi kuchukua muda hata siku moja ukajiuliza ilikuwaje Biblia ikaandikwa na ilikuwaje ikawafikia nyinyi ?

Kama hujawahi kufanya, unapata wapi nguvu ya kusadiki yaliyomo kwenye Biblia hali ya kuwa waandishi wake hawajawahi kumuona wala kumsikia Yesu ?

Hivi huwa mnatumia akili kweli katika kung'amua haya mambo ? Sababu ni mepesi sana.
 
Basi tufanye hakuzaliwa, Yale ya sikukuu ya mikate isiyo Chachu kuwa ufufuko wa kristo ndio wa kisayansi zaidi.
 
Sijasoma gazeti lako lakini TAMBUA kuwa ndiyo maana ilikiwa ndani ya dini na siyo sayansi kwa Kuna tatizo?
 
Uko sahihi kabisa, dini zote 2 Kuna udangnyifu mkubwa sana, ila mm nimeanza na mudi mbakaji
 
Sijasoma gazeti lako lakini TAMBUA kuwa ndiyo maana ilikiwa ndani ya dini na siyo sayansi kwa Kuna tatizo?
Shida ipo kubwa sana, hasa kwenye jamii kulishwa maneno ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…