Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Hii namba 6 Kwa urefu na mapana itatoka lini?
 
Aaargh kwa hiyo sisi wa namba tano tusijuhusishe na mapenzi wala chakula?? Mkuu hauko serious
Haya maarifa mazito, nenda taratibu utaelewa, kinachotakiwa ni kiasi si kuzidi
 
Haya maarifa mazito, nenda taratibu utaelewa, kinachotakiwa ni kiasi si kuzidi
Boss mimi kwenye misosi ndio huwa natumia pesa nyingi huko....! Huwa napenda sana kula chakula bora ila vingine hivyo sio mdau kabisa...! Kwa hiyo unashauri nipunguze bajeti kwenye chakula?
 
Hahaha mleta mada upo mzunguko no 3 maana mambo yako ni nusu nusu bila shaka....
 
Mzunguko wa Wife wangu 15 hapo vipi ndugu? Tunawait part 2 mbona kimya?
 
Tarehe yako ina namba zenye nuksi ipo namba 9 Na 11 ukiziunganisha unapata 911 siku Osama alipobomoa twin tower marekani. Omba Mungu mambo yako ya kesho yasibomoke
 
mkuu somo ndio limeisha au tukufate PM??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…