Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Nilikua naomba unisaidie njisi ya kuiishi hiyo No7 coz ndo No yang
Namba 7 inahusiana sana na uwezo wa kufahamu na kutumia mambo ya kiroho, cha kwanza ni kizingatia kwa umakini mambo ya kiroho yanayoelezwa na mlengo wako wa kiimani.
 
Vita inapiganwa ktk uwanja wa vita sio mazoezini. Huku ni kujazana ujinga au imani za kishirikina.
Nieleze kidigo ushirikina gani umegundua katiki uzi huu. Ujinga katika maarifa ambayo uyajui hata chembe.
 
Si lazima kuelewa kila kitu na hasa jambo linapokuwa jipya
Mzunguko wa maisha namba 3 unakuaje ndugu tafadhali nisaidie
Mtu mwenye mzunguko wa maisha 4, lazima afuate mpangilio na mifumo rasmi katika kila jambo analotaka kulikamilisha kwa ufasaha. Mtu wa mzunguko huu lazima ujue kila kitu katika maisha kina ukomo wake, ukomo wa kimazingira, mitizamo na kimwili. Ni muhimu kulitambua hili kwa kuwa mara nyingi uhisi kuwa ni yeye tu ukutwa na mikwamo ya kikomo ukilinganisha na watu wengine.
Hebu fafanua zaidi hapa kwenye hii namba
 
Tarehe (*) = (*+*)= 5
Mwezi(* *)=(*+*) = 3
Mwaka(****)=(*+*+*+*)=** (*+*) = 7
Jumla ni 15
Hilo ndio jibu baada ya kukokotoa
Hiyo si namba kiongozi ivyo inatakiwa kurudishwa katika namba mama ndipo inapoleta jibu la 6
 
Back
Top Bottom