Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Mwalimu wa Maths alikuwa akiingia class natoka zangu nje naenda kwenye vijiwe vya kahawa akitoka class narudi zangu class....

Leo tena nakutana na teacher wa Maths humu Jf sijui nitakimbilia wapi
 
Namba yako ni 5, kwa ufupi

Mtu mwenye mzunguko wa maisha 5, lazima ajifunze kutumia uhuru wake katika namna chanya ya kujenga na si kubomoa. Maisha yanakuwa na fursa nyingi kwa mtu mwenye mzunguko huu zikiambatana na mabadiliko ya mara kwa mara wakati mwingine bila kutarajiwa. Mtu huyu ana uwezo wa kufanya kazi nyingi kwa ufanisi kutokana na vipaji ambavyo Mungu amemjalia, lakini ni muhimu kuchambua fursa zenye manufaa na kuwekeza nguvu na si kuwekeza nguvu katika kila fursa. Ni lazima kuwa makini ili usipoteze muda katika anasa za kimwili katika vitu kama , chakula, mapenzi, ulevi na madawa ya kulevya.

Kwa maelezo ya kina endelea kufuatilia uzi
Aaargh kwa hiyo sisi wa namba tano tusijuhusishe na mapenzi wala chakula?? Mkuu hauko serious
 
Back
Top Bottom