Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

33/6 Tatuta maelezo ya namba 6, katika post za juu
Wewe si umesema no kiongozi ni 11 na 22...!

kusema hiyo no 33 nayo ni namba kiongozi ?

Pia hapo no yangu mama ni sita ( 6 ) unaposema no mama imegawanyijka katika nguvu hasi na chanya unamaana gani mkuu ??
 
Uchambuzi wangu umeegemea katika master namba za 11 na 22, lakini kwa vitabu vya karibuni vinazungumzia 33 kama namba kiongozo ivyo wewe unabeba sifa ya namba 33 na 6. hasi/ubaya/uovu na chanya/uzuri/wema
 
Mkuu sisi wa 7 tumesubiri sana, hebu tupe sifa zake japo kwa ufupi
 
Mkuu sisi wa 7 tumesubiri sana, hebu tupe sifa zake japo kwa ufupi
Mtu mwenye mzunguko wa maisha namba 7 lazima ajifunza kupata amani katika ufahamu wake ambayo upatikana kwa kujitambua mwenyewe. Lazima kulijua jambo kiundani kabla ya kufanya maamuzi pia ni vema kuwekeza muda wa kutosha katika kujitambua kiundani, kuamini maono yake katika kuitafuta busara. Mtu huyu anatakiwa kutotumia nguvu kubwa katika kutafuta anasa za dunia au kimwili, cha muhimu ni kujikita katika masuala ya kiroho. Ni muhimu kujitengea muda wa kuwa pekeyako ivyo kuweza kutafakari mabo kwa kina. Ni muhimu kusubiri fursa ambazo zitakuwa na manufaa katika upand wako na si kutumia kila fursa inayojitokeza
 
Kuhusu namba 1 nimeshaweka katika muendelezo wa sehemu ya uzi, kwa ufupi kuhusu namba 8

Mtu mwenye mzunguko wa maisha 8 lazima ajifunze kuridhika na mahitaji ya kimwili na anasa za dunia. Mtu huyu uwa na ndoto na maono machache sana, kitu alichojaliwa ni uwezo wa kujituma katika kutafuta fedha kwa namna yoyote ili kupata nguvu inayoletwa na uthibiti wa fedha. Mtu wa mzunguko huu uwa wana amani zaidi wanapokuwa na wadhifa wa juu katika maisha.

Kwa maelezo ya kina emdelea kufuatilia uzi
Asante saaana mkuu tupo pamoja
 
Hii je 03/01/1993
namba 8 kwa ufupi

Mtu mwenye mzunguko wa maisha 8 lazima ajifunze kuridhika na mahitaji ya kimwili na anasa za dunia. Mtu huyu uwa na ndoto na maono machache sana, kitu alichojaliwa ni uwezo wa kujituma katika kutafuta fedha kwa namna yoyote ili kupata nguvu inayoletwa na uthibiti wa fedha. Mtu wa mzunguko huu uwa wana amani zaidi wanapokuwa na wadhifa wa juu katika maisha

endelea kufuatilia uzi kwa maelezo ya kina
 
Back
Top Bottom