Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajimu wao wanakuwa wamejikita katika elimu ya nyota (astrology), alikuuliza hili kutaka kujua unaangukia katika nyota gani.hili linaweza kuwa naukweli kias fran maana nishawai kwenda kwa mnajim mmoja akaniuliza tarehe yakuzaliwa mwezi na mwaka then akachukua pen akawa kama anajumrisha jumarisha namba minikajua ndo mazingaombwe yenyewe.
Namba yako ni 9, kwa ufupimkuu nami 22.06.1988 niangalizie please
Kaka unasema kweli maana kuna muda huwa najiogopa kwa uwezo nilio nao, mtaani wanasema mimi ni usalama wa Taifa, Wenye shida wanaamini mimi ndio mtetezi wao, Mfano mkuu wa Nchi kazaliwa 29 October na mimi nimezaliwa 30 november tofauti ni namba 1 kwenye tarehe na mwezi tofauti ni moja bahati mbaya nimeishia darasa la saba lakini maisha yangu kama nimemaliza vyuo vyote. Please nipe neno zaidi kaka.
Kuhusu namba 1 nimeshaweka katika muendelezo wa sehemu ya uzi, kwa ufupi kuhusu namba 8Mkuu wakati tukiendelea kusubiri muendelezo nimepiga hesabu nimepata namba nane na mwanangu nae namba nane japo tumetofautiana tarehe mwaka na mwezi wa kuzaliwa. Mke wangu yeye ni namba moja. So naomba kujua namba 8 na 1 mkuu
Nimecalculate hapo nimeangukia namba 2Namba hajawahi kudanganya
Mtu mwenye mzunguko wa maisha 4, lazima afuate mpangilio na mifumo rasmi katika kila jambo analotaka kulikamilisha kwa ufasaha. Mtu wa mzunguko huu lazima ujue kila kitu katika maisha kina ukomo wake, ukomo wa kimazingira, mitizamo na kimwili. Ni muhimu kulitambua hili kwa kuwa mara nyingi uhisi kuwa ni yeye tu ukutwa na mikwamo ya kikomo ukilinganisha na watu wengine.7/2/1***
9+4
13 =1+3
4.
Yakwangu nne ndugu...hebu nidadavulie namimi japo kwa ufupi