jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Mkuu mimi ni 08/10/1992 please tafadhali nifafanule nami nipate kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambao ni?tafadhali nidadavulie japo kidogoMzunguko wako wa maisha ni 3
Kitovu cha Mzunguko wa Maisha namba 3 ni kuonyesha furaha ya maisha, ni rahisi kukubalika na wengine endapo utakuwa muwazi na mchangamfu na mwenye furaha. Mwenye mzunguko huu lazima awe makini katika kuendeleza uwezo wake wa kimaono na kisanaa.Ambao ni?tafadhali nidadavulie japo kidogo
Kitovu cha Mzunguko wa Maisha namba 3 ni kuonyesha furaha ya maisha, ni rahisi kukubalika na wengine endapo utakuwa muwazi na mchangamfu na mwenye furaha. Mwenye mzunguko huu lazima awe makini katika kuendeleza uwezo wake wa kimaono na kisanaa.Mzunguko wa maisha namba 3 unakuaje ndugu tafadhali nisaidie
Hapo ndo inakuaje? mkuu nifafanulie kidogoMzunguko wako wa maisha ni namba 6
Mzunguko wako wa maisha ni namba 6, endelea kufatilia nitatoa maelezo ya kina lakini kwa ufupi
Unatakiwa ujifunze kuyakubali majukumu kwa kuwa Mungu amekujalia uwezo mkubwa wa kusaidia na kufariji wengine pale inapohitajika. Tegemea watu wengi kuja kwako ili kupata msaada na faraja zaidi ya vile unavyofikiri ivyo ni muhimu kuyakubali majukumu na kujifunza namna kusaidia familia, ndugu na marafiki. Ni muhimu kujifunza kujitoa katika urafiki na matendo ya upendo kwa kuwa kile unachopanda ndicho utakachovuna, ni muhimu kutofautisha kati ya kusaidia na kuingilia mambo ya wengine.
Mtu mwenye mzunguko huu lazima ajifunze kuyakubali majukumu kwa kuwa Mungu amemjalia uwezo mkubwa wa kusaidia na kufariji wengine pale inapohitajika. Tegemea watu wengi kuja kwako ili kupata msaada na faraja zaidi ya vile unavyofikiri ivyo ni muhimu kuyakubali majukumu na kujifunza namna kusaidia familia, ndugu na marafiki. Ni muhimu kujifunza kujitoa katika urafiki na matendo ya upendo kwa kuwa kile unachopanda ndicho utakachovuna, ni muhimu kutofautisha kati ya kusaidia na kuingilia mambo ya wengine.Hapo ndo inakuaje? mkuu nifafanulie kidogo
Mkuu unaendelea saa ngapi ili tuwe online?Mtu mwenye mzunguko huu lazima ajifunze kuyakubali majukumu kwa kuwa Mungu amemjalia uwezo mkubwa wa kusaidia na kufariji wengine pale inapohitajika. Tegemea watu wengi kuja kwako ili kupata msaada na faraja zaidi ya vile unavyofikiri ivyo ni muhimu kuyakubali majukumu na kujifunza namna kusaidia familia, ndugu na marafiki. Ni muhimu kujifunza kujitoa katika urafiki na matendo ya upendo kwa kuwa kile unachopanda ndicho utakachovuna, ni muhimu kutofautisha kati ya kusaidia na kuingilia mambo ya wengine.
Kwa maelezo zaidi endelea kufuatilia uzi