Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tarrif King, mwendawazimu Trump kaamua kuchapa dunia nzima tarrifs, mpaka Tanzania nasi tumo! Huyo mzee kachanganyikiwa anajiendea kama gari la mlevi.
20250403_051649.jpg
20250403_051652.jpg
20250403_051712.jpg
20250403_051856.jpg
 
China Anabweka tu kama mbwa koko, china bwana hana chochote zidi ya USA
Tariffs zimeathirije uchumi wa China?

Marekani ilianza kuiwekea tariffs China mwaka 2018 kipindi Trump akiwa raisi na wakati huo trade surplus ya China ilikuwa around USD 300 bln

Akaja Biden naye akaongeza tariffs kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani

Kufikia 2024 China's trade surplus ni USD 1 trillion. Hii ni rekodi pekee kuwekwa duniani hakuna taifa lililowahi kufikia hiyo trade surplus

Wakati huo Marekani ina trade deficit ya USD 250 billion na China

Unaweza kutuambia kiuchumi tariffs za Marekani kwa China zimesaidia nini kwenye uchumi wa Marekani so far?

Na bado China ndiyo nchi pekee wanaofanya tit for tat kwenye trade war na Marekani

Marekani ikiongeza tariffs kwa bidhaa za China nao wanaongeza kwa bidhaa za Marekani

Kimahesabu na kiuchumi kati ya Marekani na China nani mbwa koko?
​
 
Tariffs zimeathirije uchumi wa China?

Marekani ilianza kuiwekea tariffs China mwaka 2018 kipindi Trump akiwa raisi nabrade surplus ya China ilikuwa around 300 bln

akaja Biden naye akaongezs tariffs kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani

Kufikia 2024China's tade surplus ni USD 1 trillion. Hii nibrekodi pekee kuwekwa duniani hakuna taifa lililowahi kufikia hiyo trade surplus

Wakati huo Marekani ina trade deficit ya USD 250 billion na China

Unaweza kutambia kiuchumi tariffs za Marekani kwa China zimesaidia nini kwa uchimi wa Marekani so far?

Na bado China ndiyo nchi pekee wanaifanya tit for tat kwenye trade war na Marekani

Marekanin ikiongeza kwa bidhaa za China nao wanaongeza kwa bidhaa za Marekani

Kati ya Marekani na China nani mbwa koko?
​
Maneno mengi sana, Angalia china anavopiga kelele juu ya tariff

Yeye anachaji 67% kwa bidhaa ya US ameambiwa anaongezewa tariff anapiga kelele
 
Tariffs zimeathirije uchumi wa China?

Marekani ilianza kuiwekea tariffs China mwaka 2018 kipindi Trump akiwa raisi na wakati huo trade surplus ya China ilikuwa around USD 300 bln

Akaja Biden naye akaongeza tariffs kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani

Kufikia 2024 China's tade surplus ni USD 1 trillion. Hii ni rekodi pekee kuwekwa duniani hakuna taifa lililowahi kufikia hiyo trade surplus

Wakati huo Marekani ina trade deficit ya USD 250 billion na China

Unaweza kutuambia kiuchumi tariffs za Marekani kwa China zimesaidia nini kwa uchumi wa Marekani so far?

Na bado China ndiyo nchi pekee wanaofanya tit for tat kwenye trade war na Marekani

Marekan ikiongeza tariffs kwa bidhaa za China nao wanaongeza kwa bidhaa za Marekani

Kimahesabu na kiuchumi kati ya Marekani na China nani mbwa koko?
​
Akikujibu vya maana uni tag 😂
 
Maneno mengi sana, Angalia china anavopiga kelele juu ya tariff

Yeye anachaji 67% kwa bidhaa ya US ameambiwa anaongezewa tariff anapiga kelele
Ni wapi China walipiga kelele?

Twende kwa fact mkuu. Tufanye analysis ya kiuchumi kwa data na sio maneno matupu

Hakuna chochote Marekani imeachive kwenye trade war na China tangu 2018

China still the global industrial powerhouse, the top global exporter na China peke yake inachangia karibu 30% ya global economic growth

Statistics never lie mzee
​
 
Tariffs zimeathirije uchumi wa China?

Marekani ilianza kuiwekea tariffs China mwaka 2018 kipindi Trump akiwa raisi na wakati huo trade surplus ya China ilikuwa around USD 300 bln

Akaja Biden naye akaongeza tariffs kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani

Kufikia 2024 China's tade surplus ni USD 1 trillion. Hii ni rekodi pekee kuwekwa duniani hakuna taifa lililowahi kufikia hiyo trade surplus

Wakati huo Marekani ina trade deficit ya USD 250 billion na China

Unaweza kutuambia kiuchumi tariffs za Marekani kwa China zimesaidia nini kwa uchumi wa Marekani so far?

Na bado China ndiyo nchi pekee wanaofanya tit for tat kwenye trade war na Marekani

Marekan ikiongeza tariffs kwa bidhaa za China nao wanaongeza kwa bidhaa za Marekani

Kimahesabu na kiuchumi kati ya Marekani na China nani mbwa koko?
​
Sada hawa wanaolia lia wachina kuwepo hapa nchini na kufanya biashara kirafiki kabisa hawaoni hizi takwimu kuwa mchina ni unstoppable?
 
Sioni maajabu hapo

Ana twanga tariff according to unavyo mtwanga wewe tariff

Hapo labda China tu ndio anabandikwa kujaribu kumpunguzwa kasi
 
Back
Top Bottom