Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Ni wapi China walipiga kelele?

Twende kwa fact mkuu. Tufanye analysis ya kiuchumi kwa data na sio maneno matupu

Hakuna chochote Marekani imeachive kwenye trade war na China tangu 2018

China still the global industrial powerhouse, the top global exporter na China peke yake inachangia karibu 30% ya global economic growth

Statistics never lie mzee
​
"statistics never lie" kwaio tukubaliane na David Kafulila?
 
mbona kawa fair tu maana wewe tayari unamchaji 10% hlf nayeye akikuchaji 10% unaanza kupiga mayowe?😳😇Lesotho wana total barn kwa US goods yeye kawapiga 50% tu. huyu mzee anajitambua.
20250403_075911.jpg

20250403_080220.jpg
 
Sioni maajabu hapo

Ana twanga tariff according to unavyo mtwanga wewe tariff

Hapo labda China tu ndio anabandikwa kujaribu kumpunguzwa kasi
20250403_080200.jpg
20250403_075845.jpg
 
"statistics never lie" kwaio tukubaliane na David Kafulila?
Tunazungumzia stats zinazotumika kimataifa kupata uhalisia wa uchumi wa nchi moja moja na dunia kwa ujumla kutoka kwa reliable institutions kama IMF, WB, WTO n.k​
 
mbona kawa fair tu maana wewe tayari unamchaji 10% hlf nayeye akikuchaji 10% unaanza kupiga mayowe?😳😇Lesotho wana total barn kwa US goods yeye kawapiga 50% tu. huyu mzee anajitambua.
Umemuona jamaa kama hajielewi..kaweka chart inayoonyesha Tarrifs ambazo US anakuwa charged na mataifa mengine. Halafu anamlaumu Trump kwa yeye naye kuweka tarrifs tena ambazo ni chini ya anazochajiwa yeye. Huyu jamaa kalishwa sana delusional nees na Fake news media mpaka haamini hata kile ambacho yeye mwenyewe anakiona. Sick
 
Sada hawa wanaolia lia wachina kuwepo hapa nchini na kufanya biashara kirafiki kabisa hawaoni hizi takwimu kuwa mchina ni unstoppable?
Of course hata Marekani wenyewe wanajua kuwa China is unstoppable

Hata U.S Federal Reserves na U.S Chamber of Commerce wanajua kuwa mzee anachofanya ni siasa tu
​
 
Umemuona jamaa kama hajielewi..kaweka chart inayoonyesha Tarrifs ambazo US anakuwa charged na mataifa mengine. Halafu anamlaumu Trump kwa yeye naye kuweka tarrifs tena ambazo ni chini ya anazochajiwa yeye. Huyu jamaa kalishwa sana delusional nees na Fake news media mpaka haamini hata kile ambacho yeye mwenyewe anakiona. Sick
20250403_075911.jpg
 
Tariffs zimeathirije uchumi wa China?

Marekani ilianza kuiwekea tariffs China mwaka 2018 kipindi Trump akiwa raisi na wakati huo trade surplus ya China ilikuwa around USD 300 bln

Akaja Biden naye akaongeza tariffs kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani

Kufikia 2024 China's trade surplus ni USD 1 trillion. Hii ni rekodi pekee kuwekwa duniani hakuna taifa lililowahi kufikia hiyo trade surplus

Wakati huo Marekani ina trade deficit ya USD 250 billion na China

Unaweza kutuambia kiuchumi tariffs za Marekani kwa China zimesaidia nini kwenye uchumi wa Marekani so far?

Na bado China ndiyo nchi pekee wanaofanya tit for tat kwenye trade war na Marekani

Marekani ikiongeza tariffs kwa bidhaa za China nao wanaongeza kwa bidhaa za Marekani

Kimahesabu na kiuchumi kati ya Marekani na China nani mbwa koko?
​
Umeweka figures bila ufafanuzi. Tarrifs zinasaidia nchi kama US kwa kuvutia manufacturing industries Marekani,kuzalisha ajira kwa wamarekani..First Trumps Tarrifs kwa China ilileta billions of dollars kwa US ndo maana of all hata Biden aliendeleza.
 
Kuna mawili either, his economics advisors are very clever or very stupid.

The latter makes more sense, kwa nchi ambayo biashara inategemea mitaji kutoka kwenye financial institutions, hela zenyewe ni savings za watu.

Hii unpredictable presidency ni headache kwa investors, jamaa anaweza sababisha financial crisis. Hapo ndipo unapoacha doubt labda washauri wake wana mitigation strategy ambayo aina madhara kwa US.

Otherwise it’s a very stupid measure for the stability of global economy under the FIAT money and US huge bond debt.

Time will tell
 
Back
Top Bottom