Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Umeweka figures bila ufafanuzi. Tarrifs zinasaidia nchi kama US kwa kuvutia manufacturing industries Marekani
Tangu 1997 manufacturing industrial sector nchini Marekani imeshuka sana

Zaidi ya factories 90,000 zimefungwa. Factories huko Detroit, Pittsburgh, St Louis n.k zimekuwa magofu ya kuigizia movies za zombies

Tatizo kubwa la kuwekeza Marekani kwenye manufacturing ni uwepo wa gharama kubwa ya uzalishaji na shida ya skilled personnel

Tariffs on import alone wont bring back their past glory manufacturing power even no new jobs will be created

Marekani kama ilivyofanya China kwanza inahitaji long plan hasa kwenye kuimarisha manufacturing chain supply ili wapunguze production cost

La sivyo bado bidhaa za Marekani zitakabili ushindani mkubwa kwenye soko la dunia kwenye bei.

Na hakuna investor atakayekubali kurisk mtaji wake kuwekeza kwenye taifa kama hilo

​
 
Nashindwa kujua vitu kama hivi trump hana mashauri wa uchumi .. dollar ipo very strong sana mfano socket ikiuzwa kwa dolla 2 pale usa ambayo kwao ni ila ndogo tu mpaka kikifika tanzania lazima kiuzwe dollar 6 .dollar 6 sio mchezo kwa exchage rate za kwetu hapa inafika nikama 15000 . Sasa jiulize uweke socket ya 15000 nyumabani baladal ya 3000
 
Tunazungumzia stats zinazotumika kimataifa kupata uhalisia wa uchumi wa nchi moja moja na dunia kwa ujumla kutoka kwa reliable institutions kama IMF, WB, WTO n.k​
Is CAG not reliable institution?
 
Umeweka figures bila ufafanuzi. Tarrifs zinasaidia nchi kama US kwa kuvutia manufacturing industries Marekani,kuzalisha ajira kwa wamarekani..First Trumps Tarrifs kwa China ilileta billions of dollars kwa US ndo maana of all hata Biden aliendeleza.
Viwanda haviwezi rudi marekani kwa style hiyo Trump ni Magufuli mweupe coward.
 
Nimegundua kitu hapa JF.
Ni ngumu sana kumkuta mwanamke anachangia kwenye nyuzi kama hizi.
Huwa siku zote nasema kuna baadhi ya mambo wanawake sio vitu vyao kabisa ikiwemo siasa na masuala nyeti kama haya ni kama wanalazimishwa tu na agenda za kidunia.

Hata uongozi sio vitu vyao kabisa umbea na urembo ndio mahala pao.
 
Halafu ndo wanapewa theluthi ya viti bungeni ila kwenye mada kama hizi wako nyuma.
 
Tulieni, Trump mwenyewe anakuambia anauelewa uchumi wa marekani kuliko hata wachumi wabobevu wa nchi ile, hivyo jamaa hashauriki na wala huna cha kumuambia kutengua kile anachokiamini yeye.

"The art of the deal".
 
Back
Top Bottom