Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

"statistics never lie" kwaio tukubaliane na David Kafulila?
 
Sioni maajabu hapo

Ana twanga tariff according to unavyo mtwanga wewe tariff

Hapo labda China tu ndio anabandikwa kujaribu kumpunguzwa kasi
 
"statistics never lie" kwaio tukubaliane na David Kafulila?
Tunazungumzia stats zinazotumika kimataifa kupata uhalisia wa uchumi wa nchi moja moja na dunia kwa ujumla kutoka kwa reliable institutions kama IMF, WB, WTO n.k​
 
mbona kawa fair tu maana wewe tayari unamchaji 10% hlf nayeye akikuchaji 10% unaanza kupiga mayowe?😳😇Lesotho wana total barn kwa US goods yeye kawapiga 50% tu. huyu mzee anajitambua.
Umemuona jamaa kama hajielewi..kaweka chart inayoonyesha Tarrifs ambazo US anakuwa charged na mataifa mengine. Halafu anamlaumu Trump kwa yeye naye kuweka tarrifs tena ambazo ni chini ya anazochajiwa yeye. Huyu jamaa kalishwa sana delusional nees na Fake news media mpaka haamini hata kile ambacho yeye mwenyewe anakiona. Sick
 
Sada hawa wanaolia lia wachina kuwepo hapa nchini na kufanya biashara kirafiki kabisa hawaoni hizi takwimu kuwa mchina ni unstoppable?
Of course hata Marekani wenyewe wanajua kuwa China is unstoppable

Hata U.S Federal Reserves na U.S Chamber of Commerce wanajua kuwa mzee anachofanya ni siasa tu
​
 
 
Umeweka figures bila ufafanuzi. Tarrifs zinasaidia nchi kama US kwa kuvutia manufacturing industries Marekani,kuzalisha ajira kwa wamarekani..First Trumps Tarrifs kwa China ilileta billions of dollars kwa US ndo maana of all hata Biden aliendeleza.
 
Kuna mawili either, his economics advisors are very clever or very stupid.

The latter makes more sense, kwa nchi ambayo biashara inategemea mitaji kutoka kwenye financial institutions, hela zenyewe ni savings za watu.

Hii unpredictable presidency ni headache kwa investors, jamaa anaweza sababisha financial crisis. Hapo ndipo unapoacha doubt labda washauri wake wana mitigation strategy ambayo aina madhara kwa US.

Otherwise it’s a very stupid measure for the stability of global economy under the FIAT money and US huge bond debt.

Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…