Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Huwa siku zote nasema kuna baadhi ya mambo wanawake sio vitu vyao kabisa ikiwemo siasa na masuala nyeti kama haya ni kama wanalazimishwa tu na agenda za kidunia.

Hata uongozi sio vitu vyao kabisa umbea na urembo ndio mahala pao.
upo sahihi kabisa chief. ukiwata nenda kule mmu wamejaa tele.
 
Hao Cambodia na Vietnam wamewakosea nini mpaka wamepigwa ushuru mkubwa hivyo?
hawa wamezuia US asiuze kwenye masoko yao Cambodia (97) na Vietnam (90%). maana yake ni ghali sana kwa US kuuza masoko hayo. US kareciprocate kwa kuweka tariff za Cambodia (49%) na Vietnam (46%).
 
mbona kawa fair tu maana wewe tayari unamchaji 10% hlf nayeye akikuchaji 10% unaanza kupiga mayowe?😳😇Lesotho wana total barn kwa US goods yeye kawapiga 50% tu. huyu mzee anajitambua.
Mno Yuko vzr,Yuko fair
Watu washazoea dezo
 
Nimegundua kitu hapa JF.
Ni ngumu sana kumkuta mwanamke anachangia kwenye nyuzi kama hizi.
nazani thinking process ya me na ke ziko tofauti sana (waliooa na kuishi na ke wataelewa vizuri). unachoona wew [me] ni priority, kwa ke ni opposite kabisa. tunapishana maeneo mengine mengi tu. huwezi kuwalaumu maana ndivyo walivyo. ila ke akikishikilia kitu anakuwa mzuri sana kwenye angle iyo.
 
Maneno mengi sana, Angalia china anavopiga kelele juu ya tariff

Yeye anachaji 67% kwa bidhaa ya US ameambiwa anaongezewa tariff anapiga kelele
Yet tunaambiwa hapa na chawa kuwa haijamyathiri, eti Kwa ss ni leading power🙌😅
 
Noma sana😅
 
Ukiitazama kwa jicho la Masoko utaona crisis. However soko litayumba kisha litaji regulate na kuwa stable. Trump na wachumi wake kina Lutnick, na Bessent, Navaro nk wanaangalia Uzalishaji (manufacturing). Huwezi kuwa na uchumi wa maana kwa kutegemea masoko mkuu. Utakwama tu......China anazalisha ndo maana unaona anakimbiza.
 
Usa anazalisha nini labda kamasutra muvi ...yeye alipaswa kuanza na viwanda kwanza ww unaanza na taarif na muda wako ni miaka minne
 
Ni recipe for chaos, sio kila import ni finished goods. Some ni components ambazo US manufacturers wanatumia kwenye manufacturing production. Some ni raw material ya viwandani.

Sasa hapo unawapa changamoto wazalishaji kujenga viwanda vya kutengeneza hizo components na kutafuta raw material within US. Hiyo sio mission ya muda mfupi ni medium term strategy the list 3-5 years.

Kufanikisha hilo zoezi linataka mitaji, ambayo kwa makampuni madogo inabidi kukopa banks, kuongeza madeni yao, costs za biashara na uzalishaji, kupandisha bei za bidhaa.

Yaani unaweza andika mlolongo wa mambo mengi, kifupisha there’s a reason why wafanyabiashara wanaangalia comparative advantages on what to produce and import to generate profits.

Bado jinsi alivyo-spook market na kuondoa mitaji, it’s chaos. Ndio maana unaona major global and US economic institutions zina predict recession wa uchumi wa dunia, as how quickly US will recover no one knows either way prices of many goods are likely to increase in the long run, debasing the us currency, if trade is reduced countries are likely to reduce their US capital reserves. It’s a bad move in many levels.
 
mbona kawa fair tu maana wewe tayari unamchaji 10% hlf nayeye akikuchaji 10% unaanza kupiga mayowe?😳😇Lesotho wana total barn kwa US goods yeye kawapiga 50% tu. huyu mzee anajitambua.
Hizo si figure halisi wamezi calculate kutokana na trade deficit. Ukitazama wachambuzi wakichambua hizi figure kazitoa wapi ndipo utaelewa. Halafu wanasema kama shida ni hiyo, mbona US yeye ndiye anaongoza kuuza services duniani. Yani US atakuwa na trade deficit kwa non-physical goods kila mahali kwa sababu kampuni zake zinaongoza kuuza huduma. Mfano meta, google, oracle, makampuni ya kusambaza internet yako kila mahali na hilo hajalizingatia.
 
Kiuchumi US Ina advantage kubwa kuliko china. Kiburi cha US kipo kwenye utajiri na stability ya uchumi wake.

China kuwa na trade surplus kubwa haimaanishi Iko kwenyd position nzuri kuliko US overall.
Advantage aliyo nayo Marekani ni ipi?

Kama Marekani ina advantage kwa nini ikimbilie kuweka tariffs kwa bidhaa za China?

Kati ya China na Marekani ni taifa gani lina stable economy? Hiyo position nzuri ya Marekani ni ipi?

Unajua kuwa sababu ya Marekani kuongeza tariffs ni kuziforce nchi nyingine nazo zipunguze tariffs kwa bidhaa za Marekani ili kusawazisha trade deficts? Nani kati ya taifa lenye defict na surplus liko kwenye position nzuri?

Halafu leo unaanzaje kusema trade surplus haimaanishi kuwa China iko kwenye position nzuri?

Kwa nini Trump anataka ku-bring manufacturers back Marekani na investors wakawekeze kwenye manufacturing?
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…