Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

Advantage ya US ni kwa sababu yeye ndio soko kubwa zaidi duniani kwa bidhaa zilizomalizika(finished goods). US inanunua 30% ya bidhaa zote za viwandani za dunia.
 
Trade surplus haitaisaidia China kama mteja wake mkubwa hatazinunua bidhaa zake kwa sababu itabaki na bidhaa isizoweza kuuza. Kwenye hivi vita vya biashara wote US na China ni wapotezaji😁, muhimu hapa ni kuangalia nani atakuwa mpotezaji/loser mkubwa zaidi na anayeweza kuvumilia kwa muda mrefu zaidi kuharibika kwa uchumi wake.

Hapa Trump amekuwa gaidi wa uchumi, kajitoa muhanga kujilipua na maadui wake, wote wapoteze🤣
 
Advantage ya US ni kwa sababu yeye ndio soko kubwa zaidi duniani kwa bidhaa zilizomalizika(finished goods). US inanua 30% ya bidhaa zote za viwandani za dunia.
Kwani soko ni moja tu Marekani? Hata China ni the 2nd largest consumer market baada ya Marekani

China ilishafanya diversfication ya masoko yake. Miaka ya nyuma China ilikuwa ikiuza sana bidhaa zake kwa Marekani

Ila baada ya diversfication kwa sasa soko kuu la China ni South Global countries na China imefanikiwa kutotegemea soko la Marekani pasipo kuharibu uchumi wake

Na ndio maana tofauti na mataifa mengine yanayotegemea hasa soko la Marekani hayawezi kufanya tir for tat dhidi ya Marekani kwenye trade war kama China inavyofanya

Kwenye trade war Marekani itazisumbua Canada, Mexico, Vietnam, Indonesia, India and the likes of ila sio kwa China
​
 
Trade surplus haitaisaidia China kama mteja wake mkubwa hatazinunua bidhaa zake kwa sababu itabaki na bidhaa isizoweza kuuza
Kama mlikuwa hamjui ni kwamba kufikia 2024 thamani ya exports za China ni USD 500 billion ambayo ni sawa 3% tu ya GDP ya China

Na hiyo thamani inaenda ikipungua miaka baada ya miaka na uchumi wa China bado uko stable

Ila jiulize ikiwa Marekani ambayo inategemea kuuza 60%-65% ya foodstuffs na agricultural products kwa China itapata wapi soko la ku-replace ikiwa watazuiwa kabisa

China inaiambia Marekani kwa vitendo kuwa wanaweza kusurvive kiuchumi bila ya soko la Marekani

​
 
Kwenye hivi vita vya biashara wote US na China ni wapotezaji😁, muhimu hapa ni kuangalia nani atakuwa mpotezaji/loser mkubwa zaidi na anayeweza kuvumilia kwa muda mrefu zaidi kuharibika kwa uchumi wake.
Tangu Marekani iianzishe trade war dhidi ya China mwaka 2018 haijafanikiwa malengo yake kama; ​
  • De-coupling policy​
  • De-risking policy​
  • Bring manufacturing back in US​
Bado Walmart na Amazon zinaendelea kutegemea Chinese suppliers kuimport consumer goods in U.S

Bado U.S defense contractors na manufacturers wanaimport critical components, dual use goods na critical minerals kutoka China

Bado pharmaceutical industry ya Marekani inaimport APIs na compounds kutoka China

China bado ni industrial powerhouse na the top global exporter kuliko Marekani

Tuambie so far Marekani imefikia malengo yapi?
​
 
Hapa Trump amekuwa gaidi wa uchumi, kajitoa muhanga kujilipua na maadui wake, wote wapoteze🤣
Marekani ndiyo imejipoteza si umeona masoko ya hisa ya Marekani yamepoteza USD 10 trillion tangu Mr Orange clown atangaze tariffs, na China ilipo retaliate kwa kuongeza 34% on U.S imports​
 
Marekani ndiyo imejipoteza si umeona masoko ya hisa ya Marekani yamepoteza USD 10 trillion tangu Mr Orange clown atangaze tariffs, na China ilipo retaliate kwa kuongeza 34% on U.S imports​
Masoko ya hisa ya China yamepoteza kwa asilimia ngapi?
Tarrifs zikiendelea mwaka mzima exports za China zitaanguka kwa kiasi gani??
 
Masoko ya hisa ya China yamepoteza kwa asilimia ngapi?
Tarrifs zikiendelea mwaka mzima exports za China zitaanguka kwa kiasi gani??
Masoko ya hisa ya China yako normal, exports za China hazitaangauka kwani bado U.S importers wananunua bidhaa kutoka kwa Chinese suppliers

Mimi huwa nasemaga kama kweli Marekani yuko serious azuie kabisa bidhaa za China zisiguse soko la Marekani kwa 100%

Hizi tariffs ni siasa tu hazijawahi kuleta mafanikio ya bidhaa za China kutoingia Marekani
​
 
Tatizo huyo anayeongeza ushuru yeye hana bidhaa mbadala bado tena analazimika kununua kwa haohao aliwaongezea ushuru

Mr MAGA ni mwendawazimu
​
acheni kulalamika. kamwaga ugali wamwage mboga
 
hizi tarrifs mbona kama zinawapoteza wamarekani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…