Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."

Tarimba.

NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
Kwan Nan anawez kumgusa mzee wa Msoga nyie endleeeni kubwabwaja nchi ndogo sana hiii
 
Ikiwa Bunge la ccm lime chafukwa na ufisadi huu unao endelea nchini ,vipi kungekuwa na Bunge la mseto yaani (Upinzani & ccm) ? Maana yake Moto ungekuwa mkubwa Sana na hata serikali kutikisika.
 
"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."

Tarimba.

NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
Kweli tutamkumbuka
Wamiliki wa Nkuhungu broad acre na Matuli Dodoma alizuia maeneo yasitwaliwe bure na Jiji kwakuwa Hana hela za kulipa leo Jiji wamepora na kuanza kuuza kuweka matajiri wa vituo vya mafuta na Mambo mengine Kama malizao huku wamiliki halali wenye hati wakiambiwa maeneo yamechukuliwa na Jiji Kama mchango wa upimaji Wizi mtupu
 
Back
Top Bottom