Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."

Tarimba.

NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
Hivi ni kweli Tarimba Abbas au?? Maana siamini
 
This seems to be a bitter truth !!!
 
Kwan Nan anawez kumgusa mzee wa Msoga nyie endleeeni kubwabwaja nchi ndogo sana hiii
Unakuta Current Government Operators wengi Wana undugu na viongozi wakuu wastaafu au walioko madarakani... Viongozi wakuu includes ata wakuu wa vyombo...kuwagusa hao lazima ushikwe na kigugumizi.
 
Siyo muda mrefu huenda akaitwa kwenye Kamati ya Maadili! Lakini kwa kuwa Job hayupo basi itapita.
 
"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."

Tarimba.

NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
Bahati mbaya wapigaji na wezi hao ni wale genge la Mwendazake..

Watu wasisahau kwamba hii ni ripoti ya 2020/21 na kiukweli yule aliyeitwa Chuma asingeruhusi mjadala wa wazi kama hivi na hajawahi ruhusu..

Ripoti ya Samia tutaiona kuanzia 2021/22..

Kwa hiyo like jizi linapaswa kulaaniwa kabisa.
 
Hakuna anayeweza kutajwa kwa jina Kwa sababu ripoti za cag hazitaji majina ya mtu bali taasisi,sasa kama ufisadi ni WA taasisi hapa unamtaja nani?

Ona kwa mfano huu upigaji hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221105-124332.png
    Screenshot_20221105-124332.png
    96.7 KB · Views: 1
abbas kapiga penyewe.

kama mnakumbuka charamila juzi hapa alikuwa anasema kuna watu wanakusanya hela za uchaguzu 2025,ili wamtoe mkuu wao wa kazi.

sasa nikawa najiuliza,kama ni kweli huu si uhaini + uhujumu uchumi??why shangazi anazurula tu!!!
 
"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."

Tarimba.

NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
Wanaanza kutafuta uhalali wa 2025
Wote hawafai.
 
Wananchi tunagombanishwa na serikali.ila Mh awapurutishe wote waliotajwa kama ni wakurugenzi warudi kwenye vyeo vya zamani na kama ni kutumbua watumbuliwe.Maombi ya Mwugulu kuhusu waliotumbuliwa kutoendelea kulipwa nafikiri yamepitishwa bungeni
 
Back
Top Bottom