Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
SijuiMlengwa ni nani hasa.?
Kwani ni uongo sio dhaifu
Kiufupi hapa kama ni kweli hii kauli imesemwa na Mbunge, hapa mbunge amemwambia Rais wewe ni dhaifu.
Kwan Nan anawez kumgusa mzee wa Msoga nyie endleeeni kubwabwaja nchi ndogo sana hiii"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."
Tarimba.
NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
Unatutishia? Amekua Mungu? Kwahiyo aibe tu anavyotaka sio? Na kweli nchi ndogo sana hii, tutaonaKwan Nan anawez kumgusa mzee wa Msoga nyie endleeeni kubwabwaja nchi ndogo sana hiii
Tuseme tu Tarimba Abbas T amezunguka mbuyu
Kiufupi hapa kama ni kweli hii kauli imesemwa na Mbunge, hapa mbunge amemwambia Rais wewe ni dhaifu.
We si mnafki unajulikana ndio maana unasema hivyoTarimba anavuka mipaka hii kauli haijakaa sawa
Kweli tutamkumbuka"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."
Tarimba.
NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.