Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ikipita kodi hii miamala na mafuta kwa mwaka mmoja tu nchi itakuwa na mabadiliko chanya ili mradi fedha zitumike vizuri kwenye miradi pamoja na maumivu yatakayo kuwepo in a short run.Tarimba nakuona Sasa na wewe unafurahia utamu wa Kodi yetu. Hongera sana
Hivi kwanini wasiongeze Kodi kwny kampuni za betting kwa 85% maana Tarimba si ana co. Ya betting.Tarimba nakuona Sasa na wewe unafurahia utamu wa Kodi yetu. Hongera sana
Suala si kulipa Kodi, bali kinacho niuma ni Kodi niilipayo kutumika kuwalipa wale covid 19 waliojiegesha mjengoni."Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu...
Ikipita kodi hii miamala na mafuta kwa mwaka mmoja tu nchi itakuwa na mabadiliko chanya ili mradi fedha zitumike vizuri kwenye miradi pamoja na maumivu yatakayo kuwepo in a short run.
huyu muuza unga kachaguliwa na nani kuwa mbunge?"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.
Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu wanachi kuna manufaa katika kulipa kodi.
Kama Elites inabidi tuanze kuwa na utamaduni wa kufuatilia mijadala ya kitaifa na kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo hatuwezi kujenga kwa namna hii. Asanteni." - Mh. Abbas Tarimba (Mb Kinondoni)
Hawa wa safari hii, wote waliteuliwa na marehemu. Hakuna aliyewachagua.huyu muuza unga kachaguliwa na nani kuwa mbunge?
huyu muuza unga kachaguliwa na nani kuwa mbunge?
"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.