Tarimba: Kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo; Wananchi kuna manufaa katika kulipa kodi

Tarimba: Kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo; Wananchi kuna manufaa katika kulipa kodi

"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.

Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu wanachi kuna manufaa katika kulipa kodi.

Kama Elites inabidi tuanze kuwa na utamaduni wa kufuatilia mijadala ya kitaifa na kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo hatuwezi kujenga kwa namna hii. Asanteni." - Mh. Abbas Tarimba (Mb Kinondoni)
Unaelewa maana ya kodi?
Kama ni kodi ya kichwa isipitishwe kwenye simu.
Kwenye simu tunakatwa VAT @ MUAMALA. 18%
MUAMALA MOJA KODI MBILI?
HII HAPA INAITWA TOA HELA.
SIYO KODI.
 
Back
Top Bottom