huyo mbunge wa kinondoni hata historia ya dar haielewi nafikiri, sehemu kubwa inayoitwa dar leo hii haikuwa sehemu ya dar wakati wa uhuru, kama tungeibakiza dar ya uhuru maji yangetosha kwa kila mtu, tatizo ni ongezeko la watu bila ya mpangilio kila mtu anajenga popote ofcourse maji hayawezi kutosha.
lkn dar ya zamani i.e ilala, tmk, kinondoni bila ya tabata, mbezi zote juu na chini, kimara, boko, bunju, madale, kigamboni leo hii mpaka pugu ni kama dar maji yangetosha.
kwangu mimi walipoanzisha sinza walipaswa pia waje na vyanzo vipya vya maji ya kunywa kwa ajili ya wakazi wake wapya, sasa kuna sinza kama 10 rasmi na zisizo rasmi lkn vyanzo ni vile vile unategemea nini? simpla math tu utaona kwamba haiwezekani …