TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

huyo msukuma alipotea njia kwenda kuinadi ccm huko kwa wakila
Unaingiza ukabila wakati mnalalamikia 'Sukuma Gang' kwamba walikuwa na ukabila. Wapi imesemwa kwamba sehemu fulani ya Tanzania waishi watu wa kabila fulani tu kiasi kwamba huyu mwenye jina la Kisukuma asiishi huko? Inawezekana kabisa huyu alizaliwa huko, la sivyo lazima ameishi huko muda mrefu mpaka kuja kupata cheo ambacho kwa kawaida hupewa wakazi wa mahali husika.
 
Wale rafiki zetu wa bita ni bita akili zao ni ndogo sana.
Sijui kwanini wana akili ndogo
Ila ndio wanaowalinda kwenye hii nchi yenu.bila wao huenda sasa Tanzania ingekua na mikoa miwili tu ya singida na Dodoma.
 
Aya Sasa unakwenda kuozea jela bureee. Unaiacha siasa watu wanaendelea kutumbua vyao
 
maulidkitenge~p~CciLPoXt4NI~1.jpg


Ni huko Tarime Mkoa wa Mara.

Mwana CCM alileta ubishi kwenye maslahi mapama ya nchi watu wametoka naye.

Mungu ibariki Chadema.
 
Tarime kwa kuuana ni sawa na kunywa maji.
Kwahy huyo jamaa wa chadema akashindwa ku-control hisia zake.! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom