Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi


Zakaria nae inaonekana ana Wapelelezi wake bila shaka.
 

Mkuu wale walitaka kumkamata kwa mgongo wa cheo ndio maana wakajitambulisha baada ya kuona roho zao zinataka kuacha mwili. That's a problem ila wangekuwa kama watanzania wa kawaida basi wangewaeleza wale wakurya waliojazana kwenye tukio ili wawasaidie.. instead wakajitambulisha vyeo vyao that mean walitaka kufanya kwa mgongo wa cheo.

So they have done wrong.
 


Hii ndo dawa ya watekaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…