Walimuonea lakini na yeye aliwakomesha imebakia kuwa mfano kwa Tabia mbaya ya wasiojulikana wengine wenye Tabia kama zile, kipindi hiki cha miaka minne wameteketea wasiojulikana wengi sana hasa kile kikundi cha kuwabambikia watu kesi cha nyaulingo na wale waliokwenda kumpiga risasi Tundu Lisu, wengi wamekufa wengine ni vilema wengine wamekuwa vichaa zipo Adhabu nyingi wanakutana nazo toka kwa mungu kwa siri na sasa wasiojulikana wengi wamekuwa waoga sana, wanaogopa Albadiri kuliko chochote kile.Peter Zakaria anabakia kuwa mwanadamu pekee hapa Tanzania kuwazidi maarifa watu wasiojulikana.
Mwisho wa ubaya huwa ni Aibu na sijaona sababu ya utawala huu kuhangaika na Ubaya wakati mazuri wanayoyafanya yanatosha kuzikamata Akili za watanzania wakawapendaUnaona sasa
Sasa wanasema atakayeongea kuwa fulani katekwa akamatwe!Mwisho wa ubaya huwa ni Aibu na sijaona sababu ya utawala huu kuhangaika na Ubaya wakati mazuri wanayoyafanya yanatosha kuzikamata Akili za watanzania wakawapenda
Mtalamu... sijaona mchango wako kwenye tukio la sabaya.. nataka kucheka kidogo..huyu jamaa anapaswa apatiwe nishani ya nobel kwa uthubutu wake enzi za utawala wa mkono wa chuma
Kuna watu hawajawahi hata kuingia kituo cha Polisi na hawadindishi, sembuse huyu aliyeteswa akiwa mikononi mwa Polisi?Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Mkuu wa Mkoa Adam Malima alisema ni watu gani vile?Mnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.
Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Mbona Mimi hata simjui huyu PeterMnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.
Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
.Adam Malima alisema ni Maofisa wa TISS. Lakini kiuhalisia TISS hawaruhusiwi kumkabili mshukiwa Moja kwa mojaMkuu wa Mkoa Adam Malima alisema ni watu gani vile?
Kwa hiyo unashabikia ushenzi uliofanywa na yule dhalim mwendakuzimu?Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Hivi huwezi kuomba ajengewe sanamu bila kumdhalilisha marehemu?.kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli,